Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
masahihisho madogo
No edit summary
(masahihisho madogo)
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
 
[[Idadi]] kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna ma[[kadirio]]makadirio ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inawezazinazoweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana ni mabilioni. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya [[darubini]] au vyombo vya angani.
 
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa yana [[wanasayansi]] wa [[astronomia]].
 
Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika [[kipenyo]] cha [[miaka ya nuru]] milioni 10 huitwa [[kundi la galaksi]] (ing. ''galaxy group''). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa [[fundo la galaksi]] (ing. ''galaxy cluster'') linaweze kuwa na kipenyo ch miaka ya nuru milioni 10 - 20.