Tofauti kati ya marekesbisho "Elimu"

1 byte removed ,  miaka 2 iliyopita
Kwa wanafunzi au wagenzi na walimu au waelekezi, kuwekwa pamoja kwa mbinu hizi mara nyingi huongeza fanaka, matarajio na matokeo ya elimu. Hili huafikiwa kwa kutoa elimu inayooana na taswira zao za asili, mazoea na mitiazamo yao ya ulimwengu. Kwa wanafunzi na walimu wasio wa asili, elimu ya aina hii ina athari ya kuongeza ufahamu wa tamaduni zao za kibinafsi na mazoea ya jumla ya umma na watu wanaowazunguka, hivyo basi kukuza heshima na kuthamini tamaduni za wanajamii hizo.
 
Katika elimu na mafunzo, kujumuishwa kwa maarifa ya kiasili, tamaduni, maono, mitazamo na dhana katika mitaala, vifaa vya kuelekeza na vitabu vya kozi vina athari kubwa kama ile ya kujumuisha mbinu za asili katika elimu ambayo hunufaisha walimu na wanafunzi katika usambamba wa masomo, kufaulu na matokeo ya masomo hayo. Ambayo hunufaisha walimu na wanafunzi katika usambamba wa masomo, kufaulu na matokeo ya masomo hayo. Walimu na wanafunzi wa kisasa wana heshima, hamasa na maridhio kwa jamii na watu wa kienyeji kutokana na elimu husishi wanayopata.<ref>^Tazama kwa ujumla R.A Malatest na wenzake . ''Best Practices katika Kuongeza Aboriginal Post-sekondari Enrollment Rates'' (Kanada: Baraza la Mawaziri wa Elimu, Kanada, 2002) na Dr Pamela Toulouse, ''Kusaidia Aboriginal Student Success: Self-Esteem na Identity, A Hai Mafundisho strategin'' (Presentation mikononi katika Utafiti wa Elimu Ontario 2007 Kongamano) [http://www.edu.gov.on.ca/eng/research/toulouse.pdf ]</ref>
 
Mfano mkuu unaoonyesha mbinu na maudhui ya asili yanaweza kukuza matokeo yaliyotajwa hapo juu undhihirika katika elimu ya juu nchini Kanada. Kwa sababu ya sheria fulani, dhamira ya kuongeza mafanikio kwa wanafunzi wa elimu asili na kukuza maadili ya jamii ya kitamanduni, kuingizwa kwa mbinu na maudhui ya asili katika elimu huonwa kuwa jukumu na wajibu wa serikali na taasisi za elimu zenye mamlaka.<ref>Katika mkoa wa Manitoba nchini Kanada kwa mfano, juhudi za pamoja kati ya serikali na taasisi za elimu (vyuo na vyuo vikuu) kumesababisha utekelezaji wa programu 13 za Access. Programu hizi hutilia maanani mbinu na maudhui ya kale katika upokezi wa elimu ya juu; na pia huwapa wanafunzi misaada mbalimbali ya tamaduni nyeti (kama vile wazee na washauri) ili kuzidisha mafanikio katika elimu ya juu. Watetezi wa programu hizi mara nyingi husisitiza kuwa kati ya miaka ya 2001/2002 na 2005/2006 (data iliyopatikana ya hivi karibuni) jumla ya wanafunzi 800 walihitimu kutoka kwa programu hizi na vyeti na asilimia 70.8 ya wanafunzi waliojiandikisha katika miaka hii walikuwa wa usuli wa asili. Takwimu hizi zimetolewa kutoka kur. 141-143 za ''Manitoba '' ''Council on Post-Secondary Education Statistical Compendium for the Academic Years Ending in 2006'' [http://web.archive.org/web/20080923190414/http://www.copse.mb.ca/en/documents/compendium2007/chapter_5.pdf] halmashauri ya Manitoba kuhusu elimu ya juu. Kulingana na watetezi hawa, kuwekwa pamoja kwa mitindo asili ya elimu ndani ya programu hizo zinazolenga wanafunzi asili, ni kipengele muhimu kinachochangia kukamilika kwa elimu ya juu ya wanafunzi asili waliokisiwa kuwa 566 ambao hawangetarajiwa kuhitimu kiwango hiki cha mafanikio.</ref>
199

edits