Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
== Kesi ya Kanisa dhidi yake ==
[[Picha:Galileo Galilei01.jpg|thumb|right|[[Sanamu]] ya Galileo Galilei kwenye [[kaburi]] lake ndani ya [[Kanisa]] la Msalaba Mtakatifu mjini [[Firenze]], [[Italia]].]]
Matokeo ya utafiti wa Galilei yalipinga hoja ya awali lliyofundishwa na wataalamu wa [[Ugiriki ya Kale]] na kukubaliwa kukubaliwa na wataalamu wa sayansi ya siku zile na pia katika [[Kanisa Katoliki]]. Kwa Galilei ilikuwa wazi ya kwamba [[dunia]] yetu si [[kitovu]] cha [[ulimwengu]], tena aliamini [[jua]] ni kitovu chake na kwamba [[Nikolaus Kopernikus]] pamoja na [[Johannes Kepler‎]] waliwahi kusema ukweli. Mwanzoni Papa Urban VIII (aliyefuatilia kwa karibu [[majadiliano]] ya wataalamu kuhusu elimu ya nyota) alimpa Galilei [[moyo]] wa kuandika kuhusu [[nadharia]] ya Koperniko, lakini alimwonya kutoionyesha kama ukweli bali kama nadharia mojawapo.
 
Katika majadiliano na wapinzani mbalimbali Galilei alisogea mbele na kutetea [[mfumo wa jua]] kuwa kitovu cha ulimwengu na kukosoa maoni ya kinyume. Sasa mafundisho ya Galilei yalipingwa kwa msingi wa mafundisho ya [[dini]] na sayansi. Wengine waliona yalipinga [[Biblia]] na [[imani]]. Wengine walifuata wataalamu kama [[Tycho Brahe]] walioona ya kwamba Galilei hakuweza kueleza [[vipimo]] vingi (jinsi vilivyowezekana wakati ule) na hivyo kukosa msingi wa kutangaza ukweli mpya.