Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 19:
 
== Mfano wa Jabari (''Orion'') ==
Picha za kundinyota ya [[Jabari (kundinyota)|Jabari]] (''Orion'') katika makala hii zinaonyesha njia kutoka nyota angani hadi wazo la kundinyota. <br/>
 
1. Jabari inaonekana vizuri kwa sababu kuna kwanza nyota tatu kama mstari. Juu yake upande wa kushoto kidogo ni nyota mbili zinazong'aa sana. Chini ya mstari wa nyota tatu kuna nyota mbili au tatu (inategemea ubora wa macho) za karibu sana. Halafu chini yake kuna tena nyota mbili za mbali kidogo zinazong'aa na kufanana zile mbili za juu. Kama giza inaongezeka ni tena nyota zaidi zinazoonekana.<br/>