Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 23:
1. Jabari inaonekana vizuri kwa sababu kuna kwanza nyota tatu kama mstari. Juu yake upande wa kushoto kidogo ni nyota mbili zinazong'aa sana. Chini ya mstari wa nyota tatu kuna nyota mbili au tatu (inategemea ubora wa macho) za karibu sana. Halafu chini yake kuna tena nyota mbili za mbali kidogo zinazong'aa na kufanana zile mbili za juu. Kama giza inaongezeka ni tena nyota zaidi zinazoonekana.<br/>
 
2. Watu waliunganisha nyota kwa kuwaza mistari wakaanza kumwona mtu. Nyota tatu za katikati(δ, ε, ζ) ziliitwa ukanda, nyota mbili za kung'aa za juu (α, λγ) zikawa mabega ya mtu na nyota mbili za chini (β,κ) miguu yake. Nyota mbili au tatu chini ya "ukanda" (ι, θ) zikatajwa kama silaha inayoaliki kwenye ukanda. Nyota nyingine hafifu zaidi zikaunganishwa katika picha hii: nyota za "π" 1,2,3 zikawa ama ngao au kando la nguo; λ kama kichwa.<br/>
 
3. Wasanii walichora picha kama ile ya juu upande wa kushoto (nyota kadhaa zilitiwa rangi katika makala hii kwa kuonekana vizuri zaidi si picha yenyewe). Hivyo katika mawazo ya watu wa kale katika tamaduni mbalimbali anga lilijaa mapepo au hasa miungu.<br/>