Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

7 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.
 
* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. <ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya [[Rijili Kantori]] ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta[[Ibuti la Jauza]] kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
 
* '''Mwangaza halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru jinsi ingeonekana kwa mtazamji aliyeko katika umbali sanifu. Umbali huu ulisanifishwa kuwa miaka ya nuru 32.6<ref name=Laet29>Rony De Laet, ''The Casual Sky Observer's Guide: Stargazing with Binoculars and Small Telescopes'' (New York: Springer, 2012), p. 29</ref><ref> au [[parsec]] 10</ref> Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.