Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
 
== Mwezi wa Dunia (ardhi) yetu ==
Mwezi wa dunia yetu ni mkubwakati kushindaya miezi minginemikubwa katikakwenye [[mfumo wa jua]]Jua. Hakuna jina tofauti kuliko "mwezi" isipokuwa watu wametumia nenopia jina la [[Kilatini]] "[[lunaLuna]]" kwa ajili ya mwezi wakitaja mwezi wetu ili kuutofautihsakuutofautisha na miezi ya sayari nyingine.
 
Mwezi wetu huwa na umbo la tufe lakini si tufe kamili. Kipenyo cha wastani ni kilomita 3,476 (dunia yetu ina kipenyo cha km 12,756 kwenye ikweta). Mwezi unazunguka dunia yetu kwenye [[obiti]] (njia yake) chenye umbo la [[duaradufu]] kwa umbali baina ya kilomita 363,300 hadi 405,500 kutoka dunia. Pamoja na dunia unazunguka jua.
 
Huwa tunaangalia uso wake upande mmoja, tena uleule tu. Sababu yake ni ya kwamba sikumzunguko yawa mweziMwezi kwenye mhimili wake ni sawa na kipindi cha obiti ya kuzungka duniaDunia mara moja. MweziKipindi unazungukacha kwenyeobiti kipenyoyake chakeni katikasiku muda27 , wamasaa siku7, 27.321dakika 66143 zana duniasekunde 11.5. Upande wa nyuma wa mwezi uko gizani wakati sisi tunaona mwezi mpevu. Wakati kwetu mwezi hauonekani upande wa nyuma unapokea nuru ya jua.
 
Nuru ya mwezi hautoki kwake bali ni nuru ya jua inayoakisiwa na uso wake.