Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 29:
Mwezi wetu huwa na umbo la tufe lakini si tufe kamili. Kipenyo cha wastani ni kilomita 3,476 (dunia yetu ina kipenyo cha km 12,756 kwenye ikweta). Mwezi unazunguka dunia yetu kwenye [[obiti]] (njia yake) chenye umbo la [[duaradufu]] kwa umbali baina ya kilomita 363,300 hadi 405,500 kutoka dunia. Pamoja na dunia unazunguka jua.
 
Huwa tunaangalia uso wake upande mmoja, tena uleule tu. Sababu yake ni ya kwamba mzunguko wa Mwezi kwenye mhimili wake ni sawa na kipindi cha obiti ya kuzungka Dunia mara moja. Kipindi cha obiti yake ni siku 27 , masaa 7, dakika 43 na sekunde 11.5. Upande wa nyuma wa mwezi uko gizani wakati sisi tunaona [[mwezi mpevu]]. Wakati kwetuwa [[mwezi hauonekanimwandamo]] kwetu upande wa nyuma unapokea nuru ya juaJua. .
 
Nuru ya mwezi hautoki kwake bali ni nuru ya jua inayoakisiwa na uso wake.