Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 2:
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] ilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa ujumbe wa [[Apollo 8]] tarehe [[24 Desemba]] [[1968]]. Apollo 8 ilikuwa mara ya kwanza chombo cha angani cha kubebea watu kushikwa na graviti ya mwezi na kuzunguka mwezi kwa ajili ya [[graviti]] hiyo. ]]
'''Mwezi''' ni [[gimba la angani]] linalozunguka [[sayari]] fulani. Kuna miezi mingi katika [[anga la nje]]
Mabadiliko ya kuonekana kwake yalisababisha katika [[Kiswahili]] [[neno]] "mwezi" litumike kama kipindi cha wakati. Awamu zake nne pengine ndizo chanzo cha [[Juma|majuma]] ya [[siku]] [[Saba (namba)|sabasaba]].
== Miezi ya sayari ==
Sayari inaweza kukosa mwezi au kuwa na miezi mingi
Mwezi hauna [[nuru]] ya kwake wenyewe bali unang'aa kutokana na nuru ya [[jua]] inaoakisiwa usoni mwake kama kwenye [[kioo]].
'''Sayari yenye miezi''' katika [[mfumo wa jua]]:
* [[Dunia]]: mwezi
* [[Mirihi]]: miezi 2
* [[Mshtarii]]: miezi 63
Line 24 ⟶ 26:
[[Picha:Lunar libration with phase2.gif|thumb|right|200px|Awamu za mwezi katika kipindi cha mwezi wa kalenda]]
== Mwezi wa Dunia
Mwezi wa dunia yetu ni kati ya miezi mikubwa kwenye mfumo wa Jua. Hakuna jina tofauti kuliko "mwezi" isipokuwa watu wametumia pia jina la [[Kilatini]] "[[Luna]]" wakitaja mwezi wetu ili kuutofautisha na miezi ya sayari nyingine.
|