Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Pluto_by_LORRI_and_Ralph%2C_13_July_2015.jpg|thumb|350px|upright|Pluto.]]
[[Picha:TheKuiperBelt Orbits Pluto Polar.svg|thumb|250px|<<small>Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptune - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu</small>]]
'''Pluto''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] ng'ambo ya [[Neptune]].

[[Masi]] yake ni hasa [[mwamba]] na [[barafu]]. [[Kipenyo]] chake ni [[km]] 2,390 km.
 
Katika mwendo wake inakata njia ya Neptune kwa sababu njia yake ina [[umbo]] la [[duaradufu]] kali.
 
== Miezi ==
Pluto ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] mitano inayoitwa [[Charon (mwezi)|Charon]], [[Styx (mwezi)|Styx]], [[Nix]], [[Kerberos (mwezi)|Kerberos]] na [[Hydra (mwezi)|Hydra]]. Charon ni kama [[nusu]] ya ukubwa wa Pluto (kipenyo 1200 km) 1200) na [[umbali]] wa wastani ni km 19,410 km. Styx, Nix, Kerberos na Hydra ni miezi midogo (vipenyo: km 10-25, 56x26, 31 na 43x33 km) yenye umbali wa km 42,600, 48,600, 57,700 na 64,700 km kutoka Pluto.
 
== Sayari au sayari kibete? ==
Pluto ilikuwa ikitambulika kama [[sayari]] ya [[tisa]] katika [[mfumo wa jua na sayari zake]] toka mwaka [[1930]] hadi [[Agosti]] [[2006]]. [[Vipimo]] vipya vilileta wasiwasi juu ya swali: Je, sayari ni kitu gani?, hasa baada ya kugundua [[Gimba la angani|magimba]] ya ziada nje ya Pluto yanayokaribia ukubwa wake lakini hayafai kuitwa sayari.
 
[[Umoja wa kimataifa wa wanaastronomia]] uliondoa Pluto katika orodha ya sayari kwenye mkutano wake wa mwaka wa 2006. Badala yake wameiita [[sayari kibete]]. Hata hivyo baadhi ya [[wanaastronomia]] walipinga uamuzi huu.
 
== Jina ==
[[Jina]] "Pluto" linamtaja [[mungu]] mtawala wa [[kuzimu]] katika [[mitholojia]] ya [[Roma ya Kale]]. Limechaguliwa kwa sayari hii kutokana na umbali wake na jua na [[giza]] kubwa ilikoliliko sawa na hali ya giza ambayo ni mfano wa kuzimu.
 
[[Vitabu]] kadhaa vinatumia jina la [[Kiswahili]] '''Utaridi'''<ref>Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066</ref>
<ref>TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net</ref>
<ref> Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X</ref> kwa kufuata [[kamusi]] ya [[KAST]]; lakini jina hili kiasili ni jina la sayari ya kwanza.<ref>KAST ni kamusi ya pekee inayotumia "Utaridi" kwa sayari hii. [[KKK/ESD]] ya [[TUKI]] inaonyesha Pluto. Linganisha ukurasa wa [[Majadiliano:Sayari]]</ref>
 
== Marejeo ==
<small><references/></small>
 
== Viungo vya nje ==
Line 28 ⟶ 31:
* [http://news.nationalgeographic.com/news/2006/08/060824-pluto-planet.html Habari kuhusu Pluto kuondolewa kwenye orodha ya sayari]
* [http://www.iau.org/ Tovuti ya International Astronomical Union]
 
 
 
 
{{mbegu-sayansi}}