Karatasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Paper 450x450.jpg|thumb|right|Laha ya karatasi.]]
[[Picha:Zellstoff 200 fach Polfilter.jpg|thumb|right|[[Konge]] za [[ubao]] jinsi zinavyoonekana kwa [[hadubini]] ni chanzo cha karatasi.]]
[[Picha:Jehovaszeugen-bethelselters-rota1991.jpg|thumb|right|Vikuto vya karatasi vyatumiwa kwenye [[machine|mashine]] kubwa za kuchapa.]]
 
'''Karatasi''' (kutoka [[Kigiriki]] Χαρτί ''kharti'' kupitia [[lugha]] ya [[Kiarabu]] ''' قرطاص''' ''qartas'') ni [[laha]] bapa na nyembamba ya konge za [[mimea]] zilizokandamizwa na kushikamanakushikamanishwa. [[Watu]] huandika kwenye karatasi, [[vitabu]] na [[magazeti]] hufanywa kwa karatasi, tena vipande vikubwa vya karatasi hutumika kwa kufunga [[Kitu|vitu]] ndani yake.
 
Karatasi hunywa [[kiowevu]], hivyo hutumiwa pia kwa shughuli za kusafisha.
 
Karatasi hutengenezwa hasa kutokana na [[ubao]] uliosagwa lakini inawezekana kutumia konge za mimea mingine pia. Inawezekana kutumia pia karatasi iliyokwishatumiwa kwa kutengezea karatasi mpya, (kwa mfano magazeti ya kale) kwa kutengezea karatasi mpya.
 
Kwa matumizi mengine kuna pia karatasi nene kama bapa inayotumiwa kutengezea ma[[boksi]] ya kubebea [[vifaa]].
 
Watu wa kwanza kutengeneza karatasi walikuwa Wa[[china]].
Mstari 23:
Madawa mbalimbali huongezwa kwenye uji wa karatasi kuipa sifa zinavyotakiwa kama uso wa kung'aa au rangi mbalimbali.
 
Karatasi za kusafishia (kwa mfano [[karatasi ya choochooni]]) inatakiwazinatakiwa kuwa laini sana.
 
==Fomati za karatasi==
Kwa kawaida karatasi zinakatwa kwa [[wateja]] kufuatana na [[fomati]] zinazokubaliwa kimataifa katika [[vipimo]] vya [[ISO 216]].

Fomati mashuhuri za ISO 216 ni kama vile A4 (karatasi ya kawaida ya [[mm]] 148 x 297), A5 (nusu ya A4) au A1 kwa matangazo makubwa.
 
== Matumizi ya karatasi ==