Neptuni (sayari) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kunyosha lugha na maelezo (makala ilikuwa iliunganishwa na makala mbili zilizowahi kupatikana sambamba, lugha haikuridhisha)
Mstari 3:
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|Neptun ilivyopigwa [[picha]] na darubini ya angani ya Hubble I.]]
[[Picha:Neptune, Earth size comparison.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa Neptun na [[dunia]]. [[Rangi]] ya [[bluu]] ya sayari ya Neptune hutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
'''NeptunNeptuni''' (wakati mwingine pia "Kausi", kwa ''[[Kiingerezaing.]]: '''Neptune)''') ni [[sayari]] mojawapo kubwa katika [[mfumo wa jua]], ya [[nane]] kutoka kwa [[juaJua]] letu na ya [[nne]] kwa ukubwa wa kipenyo katika [[kipenyomfumo wa Jua]]. KutokanaMasi nayake ukubwani wake,mara wanasayansi17 wameiwekaya Neptun,ile pamojaya na[[Dunia]]. sayariPamoja zinginena [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturn)'' na [[Uranus]] katikainahesabiwa kundikati laya sayari kubwajitu kabisaza zinazofahamikamfumo kwawetu. Kiingereza kama [[Jovian planets]].
 
Neptuni inazunguka Jua kwenye [[obiti]] yake katika kipindi cha miaka 164.8 kwa umbali wa kilomita bilioni 4.5 au [[vizio astronomia]] 30.
Neptun hukaa karibu [[muda]] wote katika umbali ambao haubadiliki kutoka jua, takribani [[kilometa]] [[bilioni]] 4.5 (sawa na [[maili]] bilioni 2.8). [[Obiti]] ya Neptun inakaribia kufikia [[duara]] kamili (obiti nyingi za sayari huwa ni duara paba).
 
[[Wanaanga]] wanaamini kuwa, kwa ndani katikati Neptun imeundwa na [[miamba]] ambayo inazungukwa na kiwango kikubwa cha [[maji]] yaliyochanganyika na vitu vyenye asili ya miamba. Kutoka ndani kabisa, maji hayo yametawanyika kuelekea juu, mpaka ilipokutana na [[tabaka la hewa]] lililoundwa na [[hidrojeni]], [[heli]] na kiwango kidogo cha [[gesi]] ya [[methane]].
 
Neptun ina [[bangili]] nne na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] [[kumi na nne]] inayofahamika hadi sasa. Ingawa [[ujazo]] wa Neptun ni mara 72 kuliko ujazo wa [[dunia]], [[tungamo]] lake ni mara 17 tu kuliko lile la dunia. Hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake, na ni nzito kuliko sayari jirani [[Uranus]] lakini ndogo yake.
 
==Ugunduzi na jina==
Neptuni haionekani kwa macho matupu. Inawezekana ya kamba [[Galileo Galilei]], aliyekuwa mtu wa kwanza wa kutumia darubini kuangalia nyota, aliiona alipotazama anga lakini hakuitambua kama sayari, ila kama nyota mojawapo.
Sayari hii haikugunduliwa angani, bali ilikuwa ya kwanza kufahamika kama matokeo ya [[Hesabu|mahesabu]]. [[Nadharia]] za kihisabati za [[unajimu]] katika [[karne ya 19]] ndizo zilizopelekea kugundua sayari ya Neptun. [[Mfaransa]] [[Urbain Jean Joseph Leverrier]] mnamo mwaka [[1846]] aliweza kukokotoa uwepo na mahali pa sayari mpya katika [[mfumo wa jua]]. [[Mwanahisabati]] huyo kupitia hesabu zake alishaweza kufanikiwa kutoa baadhi ya [[tabia]] za sayari kabla ya kuthibitisha uwepo wake.
Neptuni ilitambuliwa katika karne ya 19 kutokana na makadirio ya kihisabati wakati wataalamu walitafuta maelezo kwa mzingo wa sayari jirani ya Uranus na hapo kuwepo kwa sayari ya nyongeza ilitabiriwa. Hivyo ilitazamiwa kwenye darubini mara ya kwanza tarehe 23 Septemba 1846 karibu na mahali ilipotabiriwa.
 
Wavumbuzi mbalimbali walivutana kwa muda kuhusu jina na hatimaye mapendekezo ya kutumia jina la [[Neptunus]], mungu wa Kiroma wa bahari, yalikubaliwa.
Mnajimu mwingine wa Kijerumani, [[Johann Gottfried Galle]], akiendeleza mavumbuzi ya Leverrier aliweza kuiona sayari katika mwaka [[1846]]. Baada ya [[ugunduzi]] wake, Leverrier alipendekeza [[jina]] la [[mungu]] wa [[bahari]] na [[mito]], [[Neptuni]], kutoka [[heyaka]] za [[Ugiriki wa Kale]] na [[Roma ya kale]], kama jina la sayari mpya. Jina hili liliendelea kutumiwa na wanajimu wa [[karne ya 20]] baada ya kujifunza namna sayari ilivyo na asili ya maji kwa nje.
 
==MwendoTabia waza sayari==
[[Lugha]] nyingi [[duniani]] zimekopa jina hilo kwa sababu [[astronomia]] ya zamani haikujua sayari hiyo hadi kupatikana kwa darubini tu. Kwa [[Kiswahili]] [[vitabu]] kadhaa vinatumia jina ''Kausi''<ref>Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066</ref>
Habari nyingi kuhusu Neptuni zimepatikana kutokana na safari ya [[kipimaanga]] [[Voyager 2]] iliyopita karibu nayo mwaka 1989.
<ref>TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net</ref>
<ref> Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X</ref> kwa kufuata kamusi ya [[KAST]] na sasa pia [[KKK]]; lakini jina hilo halipatikani katika kamusi zote.<ref>[[KKK/ESD]] ya [[TUKI]] inaonyesha Neptuni. Linganisha ukurasa wa [[Majadiliano:Sayari]]</ref> Katika utamaduni wa Uswahilini jina "[[Kausi]]" linajulikana tangu karne nyingi likimaanisha [[kundinyota]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi [[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]<ref>[[Jan Knappert]], The Swahili names of stars, planets and constellations; makala katika jarida la The Indian Ocean Review, Perth, Australia September 1993, uk. 7</ref>.
 
Nusukipenyo chake ni kilomita 24,765 hivyo mara nne ya Dunia.
==Kuiangalia sayari==
===Kutoka duniani===
Neptun huwa haionekani kwa urahisi: [[macho]] matupu hayawezi kuiona; ni lazima kutumia [[darubini]], na hata hapo huonekana ikiwa imefifia kama kisahani chenye [[rangi]] ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya [[methani]] inayopatikana kwa wingi katika [[angahewa]] yake. Kwa kutumia [[teleskopu]] kubwa, sayari huweza kuonekana kama kaduara kadogo chenye kipenyo cha kama 2.3 arc second. Wanaanga hutumia kipimo cha [[arc second]] kuelezea ukubwa wa vitu katika [[anga la usiku]].
 
Muundo wa Neptuni inafanana na Uranus. Kuna kiini cha mwamba na metali chenye masi inayolingana takribani sawa na Dunia. Kiini hiki kinazungukwa na tabaka nene lenye mchanganyiko wa [[maji]], [[amonia]] na [[methani]] katika hali ya [[kiowevu]], kwa hiyo inaitwa pia bahari.
===Kutoka angani===
Kutokana na sayari kuwa mbali sana na dunia ([[km]] 4.49 X 10<sup>9</sup>/[[mi]] 2.29 X 10<sup>9</sup>), [[Chombo cha angani|chombo kimoja tu cha angani]] kiliwahi kuitembelea Neptun. Chombo kilichoitwa [[Voyager 2]], kilichotumwa angani tarehe [[20 Agosti]] [[1977]], kilifanikiwa kuipita sayari ya Jupita ([[1979]]), Saturn ([[1981]]), Uranus ([[1986]]) na Neptun ([[1989]]). Wakati Voyager 2 ilipoipita sayari ya Neptune, ilituma [[picha]] za sayari, bangili zake na miezi yake. Wanaanga walizisoma picha hizi na kugundua bangili zake nne na miezi mitano ambayo ilikuwa haijagunduliwa kabla. Minne kati ya miezi hii iliyogunduliwa ilikuwa karibu kabisa na sayari; mkubwa wake, [[Triton]] ulikuwa na kipenyo cha kilomita 180 (maili 112) ambacho ni kidogo kuweza kutosha katika mashimo yaliyo katika mwezi wa dunia.
 
Juu yake ziko tabaka za angahewa inayofanywa na gesi kama [[hidrojeni]], [[heli]] na methani. Hakuna tofauti kali kati ya sehemu za „angahewa“ na „bahari“ maana hali za mata zinaingiliana kutokana na shinikizo kubwa.
==Mwendo wa sayari==
Neptun huchukua miaka 164.79 kumaliza mzunguko mmoja kandokando ya jua, hivyo [[mwaka]] mmoja wa Neptun ni mrefu mara 164.79 kuliko ule wa dunia. Sayari inajizungusha katika [[muhimili]] wake mara kwa muda ya masaa 16, kama vile dunia inavyojizungusha kwa masaa 24. Muhimili wa kujizungusha umekaa tenge katika 29.6<sup>o</sup>. Ukaaji huu wa mhimili huipa sayari [[majira]] mbalimbali kama vile mhimili wa dunia katika 23.5<sup>o</sup> unavyotoa majira mbalimbali katika mwaka.
 
Tabaka za juu ta angahewa ni baridi sana zikiwa na jotoridi ya nyuzi za Kelvini [[°K]] 55 ([[°C]]-218) K. Hadi kitovu chake jotoridi inapanda hadi kufikia takriban °K 5,400 (°C 5,100).
==Muundo==
[[Maada]] yake ni hasa [[gesi]] iliyoganda. Kwa kiwango kikubwa, Neptun ina [[miamba]] na [[maji]], pamoja na [[hidrojeni]] na [[heli]] (na kiwango kidogo sana cha [[methane]]) katika [[anga]] lake. Wanaanga wanaamini kuwa ilifanyika kutokana na maji yaliyoganda na mwamba uliotoka katika [[asteroidi]] yenye [[barafu]] angani. Kadiri ukubwa wa sayari unavyoongezeka, [[mkandamizo]] na [[jotoridi]] ndani ya sayari huongezeka na kuyeyusha maji yaliyoganda kuwa [[kimiminika]] cha [[moto]].
 
Katika angahewa ya Neptuni zilipimwa [[dhoruba]] kali zinazofikia kasi ya zaidi ya kilomita 1600 kwa saa.
Wanaanga wanaamini pia kuwa sayari ina [[kiini]] [[yabisi]] ambacho si kikubwa kuzidi dunia (kipenyo cha dunia ni km 12,756/mi 7,926) na kina mchanganyiko wa [[chuma]] na [[silicon]]. Kiini cha Neptun kinaweza kuwa kidogo kwa sababu karibu miamba yote inayounda sayari imechanganyikana na maji mengi yaliyosambaa kutoka katika kitovu cha sayari hadi katika tabaka lake la hewa.
 
Neptuni huwa na mfumo wa bangili uliotambuiwa na Voyager 2.
Sehemu kubwa ya sayari ambayo ni ya kimiminika inachangia sehemu kubwa ya ujazo wake. Wanasayansi wanaamini kuwa [[bahari]] hii (vimiminika vinavyoizunguka sayari) inaundwa kwa kiwango kikubwa na [[maji]] (H<sub>2</sub>O) pia na [[methane]] (CH<sub>4</sub>) na [[ammonia]] (NH<sub>3</sub>). Bahari ya Neptun ina [[joto]] kali sana (kiasi cha 4700<sup>o</sup>C/8500<sup>o</sup>. Bahari imebakia katika hali ya kimiminika katika joto hili badala ya kuwa mvuke kwa sababu [[mkandamizo]] ndani ya Neptune ni mkubwa kama milioni kadhaa ya ule mkandamizo katika [[tabaka la hewa la dunia]]. Mkandamizo mkubwa husaidia kuzuia kutengeneza mvuke.
 
==Tabaka la hewaMiezi==
Mwezi mkubwa unaitwa Tritoni iligunduliwa mwaka 1846, siku chache baada ya sayari yenyewe na kupokea jina lake kutokana na mwana wa mungu wa bahari katika [[mitholojia ya Kigiriki]]. Tritoni ina kipenyo cha kilomita 2707.
Tabaka la hewa la Neptun lina gesi ya [[hidrojeni]], [[heli]] na [[asilimia]] [[tatu]] ya [[methane]]. Tabaka limetanuka mpaka km 5000 kutoka bahari ya sayari. Mwanga unaoakisiwa na sayari ni wa bluu kwa sababu methane hufyonza mwanga mwekundu na wa rangi ya machungwa lakini hutawanya mwanga wa bluu.
Katika karne ya 20 miezi mingine ilitambuliwa inayozunguka Neptuni, hadi sasa jumla ni 14 lakini mingi ni midogo.
 
==Kuiangalia sayari==
Mnamo mwaka [[1998]] wanaanga waligundua uwepo wa [[molekyuli]] za [[methyl]] katika tabaka la Neptun. Ugunduzi huo ulikuwa kwanza wa [[kampaundi]] za [[hydrocarbon]] ([[kaboni]] ni [[elementi]] ya msingi katika kila [[kiumbe hai]]) katika sayari tofauti na dunia.
Neptun huwa haionekani kwa urahisi: [[macho]] matupu hayawezi kuiona; ni lazima kutumia [[darubini]], na hata hapo huonekana ikiwa imefifia kama kisahani chenye [[rangi]] ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya [[methani]] inayopatikana kwa wingi katika [[angahewa]] yake. Kwa kutumia [[teleskopu]]darubini kubwa, sayari huweza kuonekana kama kaduara kadogo chenye kipenyo cha kama sekunde za tao 2.3 arc second. Wanaanga hutumia kipimo cha [[arc second]] kuelezea ukubwa wa vitu katika [[anga la usiku]].
 
Neptun hutoa joto mara 2.7 zaidi ya lile inayolifyonza kutoka jua. Kiini cha Neptun hufikia jotoridi la 5149<sup>o</sup> (9300<sup>o</sup>F) ambalo ni kali kuzidi lile la nje la jua. [[Upepo|Pepo]] katika Neptun, ambazo huvuma katika uelekeo wa [[latitude]], zina [[mwendokasi]] mkubwa katika maeneo ya muhimili kuliko katika [[eneo la ikweta]]. Neptun ina pepo zenye mwendokasi mkubwa kupita zote katika [[mfumo wa jua]] ambazo hufikia mwendokasi wa km/saa 2000 (mi/saa 1200).
 
==Eneo kuzunguka sayari==
Neptun ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] 14 na [[bangili]] 4 zisizoonekana kwa urahisi.
 
===Bangili zake===
Wanaanga waliweza kugundua bangili nne zilizotengenezwa na [[mabaki ya sayari]] zilizozunguka Neptune katika ikweta. Bangili hizi zina [[upana]] kati ya km 15 na 5800. Bangili zote hizi zinaizunguka sayari yote, lakini bangili ya nje kabisa ina mizunguko isiyokamilika (''arcs'') mitatu au zaidi ambayo baadhi yake iligunduliwa kutoka duniani kabla ya [[Voyager]] 2.
 
Mnamo mwaka 1998, [[kamera]] mpya ya [[infrared]] ya teleskopu ya [[Hubble Space Telescope]] (HST) ilipata picha mpya tangu zile za 1989 zilizopigwa na Voyager 2 zikionyesha bangili hizi zisizokamilika za Neptune. Awali wanaanga walikisia kuwa [[nguvu]] ya [[uvutano]] kutoka miezi ya karibu ilisababisha vipande vidogo kutengeneza mizunguko isiyokamilika, lakini picha hizi mpya zilionyesha kuwa nadharia hiyo si sahihi.
 
===Miezi yake===
[[File:Triton moon mosaic Voyager 2 (large).jpg|thumb|200px|left|Mwezi wa Triton kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
[[File:Proteus (Voyager 2).jpg|thumb|200px|right|Mwezi wa Proteus kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
Miezi (satelaiti) kumi na nne inafahamika kuzunguka Neptun. Miezi yote kwa mpangilio wa ukaribu wake na sayari ni [[Naiad]], [[Thalassa]], [[Despina]], [[Galatea]], [[Larissa]], [[Proteus]], [[Triton]], na [[Nereid]]. Hiyo miwili ya mwisho tu ni mikubwa hata iliweza kuangaliwa moja kwa moja kutoka duniani kabla ya [[miaka ya 1990]]. Mwezi mkubwa, unaoitwa [[Triton]] na kwa ukubwa hulingana na mwezi wa dunia yetu, uligunduliwa mwaka [[1846]] na mnajimu wa [[Uingereza]] [[Williama Lassel]] na [[Nereid]] uligunduliwa mwaka [[1949]] na mnajimu [[Gerard Kuiper]]. Miezi mingine mitatu ni midogo sana na iko mbali sana kutoka Neptun na wanaanga wanafahamu kidogo sana juu yake.
Mwezi huitwa [[Triton]] na .
 
==Tazama pia==