Tofauti kati ya marekesbisho "Kisuke"

1,928 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (→‎top: wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB)
Tags: Mobile edit Mobile web edit Emoji
'''Kisuke''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]]
'''Kisuke''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
Ambayo inapatikana katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]].
Kata ya Kisuke inajumla ya vijiji Vinne, ♥ Kijiji Cha Kisuke (Makao Makuu Ya Kata) ♥Kijiji Cha Itumbo, ♥ Kijiji Cha Kalaba na ♥Kijiji Cha Ipilinga. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo. Kabla Ya mwaka 2015 Kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha vijiji zaidi ya 12 ambavyo ni *Kisuke *Kalaba *Nyamilangano *Bukomela *Nussa *Ngokolo *Mitonga *Mapamba *Kawekunelela *Itumbo *Kalaba na Ipilinga.
Kata hii ilikuwa ikiongozwa na Diwani Juma Kimisha kwa miaka Kumi mfululizo tangu mwaka 2005 na baadae kata hii kubwa iligawanya na kutengeneza Kata nneyaani ♥Kisuke ♥ Nyamilangano ♥Bukomela na ♥Mapamba
Kwa sasa kata ya Kisuke inaongozwa na Diwani Paul Golani (CCM) aliyeshinda uchaguzi ws mwaka 2015 Kwa kumbwaga Aliyekuwa mgombea wa Ukawa Ndugu Joseph Charkes Mtumwa kwa zaidi ya kura 300
SHUGHULI ZA KILIMO
wakazi wa kata hii ya Kisuke wanajishughulisha sana na kilimo na ufugaji
Wazee mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kwa uchache ni Mzee Nyahinga Katumbati mfugaji wa nyuki mkubwa, Mzee John Lutonja nk
ELIMU
Kata hii Ya Kisuke ina Shule ya msingi mbili ♥ Shule Ya Msingi Kisuke ♥ Shule Ya Msingi Itumbo na pia kuna Mradi wa kujenga shule mbili katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba
HUDUMA ZA AFYA
Kata ya Kisuke ina kituo kimoja cha Afya kilichopo katika senta ya Kisuke kilichojengwa mwanzoni mwa miaka ya 1990
BIASHARA
Kata ya kisuke ina magulio mawili. Gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa mji mwema kijiji cha Kisuke na Gulio la Itumbo lililopo kataka mtaa wa senta katika kijiji cha Itumbo
DINI
wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote
ENEO LA KIHISTORIA
kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na Raus Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi
 
 
'''Kisuke''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
 
==Marejeo==
Anonymous user