Tofauti kati ya marekesbisho "Kisuke"

12 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Emoji
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Wazee mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kwa uchache ni Mzee Nyahinga Katumbati mfugaji wa nyuki mkubwa, Mzee John Lutonja nk
ELIMU
Kata hii Ya Kisuke ina Shule yaza msingi mbili ♥ [{Shule Ya Msingi Kisuke}][{Shule Ya Msingi Itumbo}] na pia kuna Mradi wa kujenga shule mbili katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba
HUDUMA ZA AFYA
Kata ya Kisuke ina kituo kimoja cha Afya kilichopo katika senta ya Kisuke kilichojengwa mwanzoni mwa miaka ya 1990
wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote
ENEO LA KIHISTORIA
kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na Raus[{Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere}] mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi
 
 
Anonymous user