Tofauti kati ya marekesbisho "Kisuke"

4 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
BIASHARA
Kata ya kisuke ina magulio mawili. Gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa mji mwema kijiji cha Kisuke na Gulio la Itumbo lililopo kataka mtaa wa senta katika kijiji cha Itumbo
[[DINI]]
wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote
ENEO LA KIHISTORIA
kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na [{{Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere}]} mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi
 
 
Anonymous user