Uchafuzi wa bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Bahari za dunia kwa karne nyingi sasa zimeonekana na kuwa sehemu mahususi ya kutupia taka . Ila kwamba kiasi cha uchafu kimezidi kuwa ni kingi sana mpaka hupelekea athari katika bahari kuu kwa viumbe wanaoishi ndani yake. Vyanzo ambavyo mara nyingi huhusishwa na utupaji wa taka ni kama vile, [[mito]] ilio na maji machafu ambayo huelekea baharini,kutokana na '''uchafuzi hewa'''ambao hupelekea bahari kuchafuka na shughuli za uvuvi.
 
===Bahari kuu za dunia===
Uchafuzi huu wa bahari kwa kiasi kikubwa huonekana katika [[fukwe]] za bahari kuu ambazo hupokea kila anina ya uchafu unaotokana na shughuli za binadamu binadamu mwenyewe katika kuhitafutia kipato hususani katika kipindi hiki cha ukuaji wa teknolojia za viwanda, bahari hizo kuu ni kama vile;
#Bahari ya Atlantiki
Mstari 9:
#Bahari ya Hindi
 
===vyanzo vya uchafu vya bahari===
Katika bahari vyanzo vya uchafu mara nyingi katika bahari ni kama vile maji taka; maji moto; mbolea na sumu za wadudu; migodi; mashamba ya chumvi; taka za nyuklia; viwanda vya chuma; kampuni za karatasi; visima vya mafuta; usafirishwaji wa mafuta; viwanda vya kusindika vyakula.