Kitambaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Traditional mud cloth.jpg|alt=Kitambaa cha kitamaduni|thumb|Kitambaa cha kitamaduni.]]
'''Kitambaa''' (pia '''kitambara''') ni kipande cha [[jora]] ambalo kimekatwa ili kushonea [[vazi]] la [[binadamu]], kama vile [[shati]], [[sketi]] au [[suruali]], lakini pia ili kukitumia kwa madhumuni mengine, kama vile kutandika [[meza]], [[kochi]] au [[samani]] nyingine, kupenga, kupangusa n.k.
 
Siku hizi vitambaa vinatengenezwa kwa kawaida katika [[viwanda]]. Mara nyingi hutengenezwa kwa kuunganisha [[nyuzi]] pamoja, ziwe za [[asili]] au vitu vilivyotengenezwa na [[mwanadamu]]. Mifano ya nyuzi za asili ni [[pamba]] na [[hariri]]. Mifano ya nyuzi za binadamu ni [[nailoni]] na [[akriliki]].
 
[[Rangi]] ya kitambaa inazingatiwa sana katika matumizi, kulingana na [[utamaduni]], hali n.k.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Mavazi]]
[[Jamii:Teknolojia]]