Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar sys.jpg|right|350px|thumb|Jua letu na sayari zake.]][[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa jua''' (''[[:en:solar system]]'') ni utaratibu wa [[jua]] letu, [[sayari]] na [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi yala angani]], vyote vikishikwa na [[nguvu mvutano]] ya jua.
 
[[Utaalamu]] kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa katika [[fani]] ya [[astronomia]].
Mstari 7:
Karibu [[masi]] yote ni ya jua lenyewe, likiwa na [[asilimia]] 99.86 za masi ya mfumo wake. Kwa hiyo sayari zote kwa pamoja na asteroidi ni asilimia 0.14 tu.
 
[[Umbali]] kati ya jua na [[dunia]] yetu ni takriban [[kilomita]] [[milioni]] [[mia moja na hamsini|150]]. Umbali huu huitwa „[[kizio astronomia]]“ ([[:en:astronomical unit]] AU). Sayari ya mbali zaidi ni [[Neptuni]] ambayo ina umbali wa vizio astronomia [[thelathini|30]] kutoka jua. Magimba ya nje sana yanazunguka jua kwa umbali wa vizio astronomia [[hamsini|50]] au zaidi.
 
Pamoja na sayari kuna [[idadi]] kubwa ya [[violwa]] vingine. Vingi ni vipande vidogo vya [[mwamba]] vinavyokusanyika katika kanda 3 zenye [[umbo]] la mwirino ambazo ni [[ukanda wa asteroidi]], [[ukanda wa Kuiper]] na [[wingu la Oort]].
Mstari 18:
 
== Sayari za jua letu ==
Kuna magimba 8 yanayozunguka jua letu na kuitwa sayari. Hadi [[Zohali]] (ing. Saturn) zinaonekana kwa macho na tangu zamani zilijulikana kwa majina yao. Sayari ya [[saba]] na [[nane]] ziligunduliwa tu tangu kupatikana kwa [[darubini]]. Hadi mwaka [[2006]] [[Pluto]] iliyopo nje ya mzingo wa Neptuni ilihesabiwa kuwa sayari, lakini tangu azimio la [[Umoja wa WanastronomiaWanaastronomia]] Pluto inaitwa sasa „sayari kibete“ pamoja na nyingine, si sayari kamili tena.
 
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa jua ni kama zifuatazo: