Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Kutokea kwa Mfumo wa Jua: kuondoa rejeo lisilo na maudhui
Mstari 129:
 
Nadharia inayokubaliwa na wataalamu wengi ni hivi<ref>Linganisha [http://atropos.as.arizona.edu/aiz/teaching/nats102/mario/solar_system.html Solar System], tovuti ya Chuo Kikuu cha Arizona, idara ya astronomia</ref>:
*takriban miaka [[bilioni]] 4.5 iliyopita kulikuwa na [[wingu la molekuli|wingu kubwa la molekuli]] lililozunguka kitovu cha galaksi yetu yaani [[Njia Nyeupe]]. Wingu hilo lilifanywa hasa na [[hidrojeni]] na [[heli]] (zaidi ya asilimia 99), pamoja na viwango vidogo vya [[elementi]] nzito zaidi. Hidrojeni na heli zilitokea katika [[mlipuko mkuu]] ulioanzisha ulimwengu wetu. Elementi nzito zilitokea katika nyota zilizowahi kutangulia na kulipuka kabla ya kuzaliwa kwa Jua letu na kusambaza mata zao kama vumbi ya angani. Ndani ya wingu kubwa kulikuwa na sehemu ambako molekuli ziliongezeka na hivyo kuunda uga wa [[graviti]] iliyoendelea kuvuta mata nyingine, kuongeza tena graviti ya sehemu hizi kadiri zilivyopokea mata zaidi. Miendo hiyo ndani ya wingu labda ilianzishwa na mishtuko ya [[supanova]] ya karibu lakini hii ni nadharia tete tu hadi sasa <ref>https://samedaypapers.com same day papers</ref>.
*Sasa sehemu moja ya wingu kubwa ambako molekuli zinaendelea kukusanyika inaanza kuzunguka kwenye mhimili wake na kuongeza mzunguko huo pamoja na ongezeko la graviti. Hiyo graviti inaendelea kuvuta molekuli za eneo kubwa zaidi hadi diski ya uongezekaji ''(ing. accretion disk)'' inatokea. Hapo masi kubwa inaelekea kukusanyika katika kitovu cha diski ambako shinikizo na jotoridi zinaanza kupanda. Kadiri atomi zinavyokazwa na graviti na jotoridi huwa juu mchakato ya myeyungano wa kinyuklia unaanza katika kitovu na hapo nyota changa inatokea.
*[[Myeyungano wa kinyuklia]] unasababisha [[mnururisho]] unaoelekea nje. Mnururisho huz ni kani inayozuia kukaza zaidi kwa nyota. Hivyo nyota inaingia katika hali thabiti baina ya graviti inayotaka kukaza mata yake kwenye kitovu na shinikizo la mnururisho linaloelekea kinyume.