Titani (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Muundo: taipo
Mstari 6:
== Muundo ==
[[File:Titan radius.jpg|thumb|Titan (buluu) inazungukwa na ganda nene la gesi (njano). Kwa hiyo inaonekana kubwa zaidi jinsi ilivyo.]]
Zamani Titani ilikadiriwa kuwa mwezi mkubwa katika mfumo wa jua. Lakini safari ya [[Voyager 1]] ilipita Titan mwaka 1979 na vipimo vya kipimaanga hiki vilionyesha ya kwamba uso wa Titan inafichwa chini ya angahewa nzito lenye unene wa kilomita 900 km. Kwa hiyo imejulikana ya kwamba [[Ganymedi]] mwezi wa [[Mshtarii]] ni mkubwa kiasizaidi.
 
Ikiwa Titani ni kubwa kushinda Utaridi inajulikana ya kwamba masi yake ni ndogo. Kwa hiyo inaaminiwa ya kwamba mwili wake ni hasa barafu ya maji. Hata uso wa mwezi ni hasa barafu ya maji ambayo ni imara kama mwamba kutokana na baridi kali ya 180 [[C°]] usoni wake. Chini ya ganda imara hili kuna uwezekano wa kuwa na bahari ya maji.