Uchafuzi wa bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 16:
Vyanzo ambavyo mara nyingi huhusishwa na utupaji wa taka ni kama vile, [[mito]] iliyo na [[maji]] machafu ambayo huelekea baharini, kutokana na uchafuzi wa [[hali ya hewa]] ambao hupelekea bahari kuchafuka. Hivyo mito hii inayoelekea baharini mara nyingi hubeba vitu kama vile: [[maji taka]], [[mbolea]] na [[sumu]] za [[wadudu]], uchafu kutoka katika [[migodi]], [[Shamba|mashamba]] ya [[chumvi]];taka za [[nyuklia]], viwanda vya [[chuma]], [[kampuni]] za [[karatasi]], [[Kisima|visima]] vya [[mafuta]], usafirishwaji wa mafuta, viwanda vya [[Usindikaji|kusindika]] [[vyakula]].
 
{{mbegu-Bahari}}
 
[[Jamii:Ekolojia]]