Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 6:
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]]), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].
 
Tangu mwaka 2000 nchi nyingi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] moja. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha dini na desturi. [[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia mbili (ona [[uhusiano wa wazi]]), lakini wale waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha [[talaka]] kilicho chini sana kuliko watu waliofunga ndoa za jinsia mbili katika muda huohuo wa takwimu. Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za wanawake wawili.
 
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.