Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WikiWed.jpg‎|thumb|right|''[[Pete]]'', mfano[[alama]] waya ndoa.]]
'''Ndoa''' ni muungano wa [[maisha]] yote kati ya [[watu]] wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na [[jamii]].
 
Katika [[utamaduni]] wa [[nchi]] nyingi uhusiano huo ni kati ya [[mwanamume]] mmoja na [[mwanamke]] mmoja tu na unalenga [[ustawi]] wao na [[uzazi]] wa [[watoto]] katika [[familia]].
 
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]] au upali), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].
 
Tangu [[mwaka]] [[2000]] nchi nyingikadhaa zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha dini na desturi. [[Takwimudini]] zinaonyesha kwamba katikana [[ndoa za jinsia mojadesturi]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia mbili (onaau [[uhusiano wa wazimaumbile]]), lakini wale waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha [[talaka]] kilicho chini sana kuliko watu waliofunga ndoa za jinsia mbili katika muda huohuo wa takwimuyenyewe. Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za wanawake wawili.
 
[[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia [[mbili]]. Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za wanawake wawili.
 
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]] yanatazama ndoa kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili kuwa [[sakramenti]] ([[Ef]] 5:32): rejea [[Ndoa (sakramenti)]].

Hasa [[Kanisa Katoliki]] linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa talaka kutokana na kauli ya [[Yesu]]: "Mungu alichokiunganisha, binadamu asikitenganishe" ([[Mk]] 10:9).
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Jinsia]]
[[Jamii:Uzazi]]