Sokwe (Hominidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 24:
 
== Eneo na uenezaji ==
Masokwe wasiokuwa wanadamu wanaishi katika maeneo ya [[tropiki]] ya [[Afrika]] ([[sokwe mtu|masokwe mtu]] na [[ngagi]]) na [[Asia]] ([[orangutanu]]). Wote ni wakazi wa [[msitu|misitu]] ila tu masokwe mtu wanaoingia pia kwenye [[mbuga]] au [[savana]]. Wanadamu wanaishi duniani kote kwa kubadili mazingira yao, kuvaa nguo na kujenga majumba yanayowalinda kutoka joto kali ama baridi.
 
== [[Mwainisho]] ==