Zodiaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed redirect to Buruji za falaki
Tag: Removed redirect
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Giuliano d'Arrigo, detto Pesello, volta con cielo del luglio 1442, 02.JPG|thumb|300px|Ukanda wa Zodiaki angani, picha iliyochorwa katika kuba ya kanisa la Italia, ikionyesha mstari wa njia ya Jua kati ya kundinyota za ekliptiki]]
[[File:Ecliptic path.jpg|thumb|The Earth in orbit of Earth|its orbit around the Sun causes the Sun to appear on the celestial sphere moving along the ecliptic (red), which is axial tilt|Imesababisha 23.44 ° kwa heshima ya equator ya mbinguni (bluu-nyeupe).]]
'''Zodiaki''' ni kanda kwenye [[anga]] lenye upana wa takriban [[nyuzi]] 20 linalofuata mstari wa [[ekliptiki]] yaani mstari wa njia dhahiri ya [[Jua]] angani katika mwendo wa mwaka mmoja. Mstari huu unapatikana kwa kutazama Jua wakati wa mapambazuko ambako linaonekana katika mazingira ya kundinyota tofauti. Kila mwaka Jua linapambazuka katika eneo la kundinyota zilezile.
'''Zodiaki''' ni eneo la [[anga]] linalolenga juu ya [[ekliptiki]], njia inayoonekana ya [[Jua]] kwenye nyanja ya [[anga]]ni juu ya kipindi cha mwaka.
 
Njia dhahiri za [[Mwezi (gimba la angani)|mweziMwezi]] na [[sayari]] inayoonekanazinaonekana pia hubakiakatika karibukanda nahili ukanda, ndani ya ukanda wala zodiaki, ambayo huongeza 8-9 ° [[kaskazini]] au [[kusini]] ya ekliptiki, kama [[kipimo]] katika [[latitudo]] ya [[mbingu]].
 
Hadi leo [[unajimu]] unatumia kundinyota hizi 12 kama [[buruji za falaki]] kwa imani ya kwamba nyota hizi zina athira kwa kipindi fulani cha mwaka kinachoitwa kufuatana na kundinyoti au buruji ya falaki yake. Lakini hali halisi Jua linapita katika maeneo ya kundinyota 13, si 12.
Katika [[astrolojia]] ya [[Magharibi]] na (zamani) ya [[astronomia]], zodiaki imegawanywa katika [[ishara]] [[kumi na mbili]], kila moja inahusika 30 ° na hali ya anga. Kwa sababu [[ishara]] hizo ni za kawaida, haziendani sawa na mipaka ya [[nyota]].
 
Miaka 3000 iliyopita ambako mfumo wa Zodiaki ulibuniwa, wataalamu wa Babeli waliondoa kundinyota ya [[Hawaa (kundinyota)|Hawaa]] ''(Ophiuchus)'' katika mfumo kwa shabaha ya kupata mgawanyo wa anga unaolingana na miezi 12 ya kalenda.
 
Kumetokea pia badiliko ya kwamba kundinyota za Zodiaki hazilingani tena na vipindi vya mwaka ambako zinatangazwa na wanajimu wa leo. Sababu yake ni kusogea kwa mhimili wa Dunia
Katika [[astrolojia]] ya [[Magharibi]], zamani pia katika [[astronomia]], zodiaki imegawanywa katika [[kundinyota]] [[kumi na mbili]], kila moja inahusika 30 ° na hali ya anga. Kwa sababu [[ishara]] hizo ni za kawaida, haziendani sawa na mipaka ya [[nyota]].
 
Ishara kumi na mbili za [[nyota]] zinaunda mfumo wa kuratibu wa anga, au zaidi hasa mfumo wa kuratibu wa ekliptiki, ambayo inachukua ekliptiki kama asili ya [[Latiti]] na nafasi ya [[jua]] katika ''[[equinox ya vernal]]'' kama asili ya [[longitudo]].
 
==Kundinyota za ekliptiki==
Jedwali ifuatayo inaonyesha hali halisi ya kundinyota 13 zinazopitiwa na Jua katika mwendo wa mwaka mmoja. Kwa sasa nukta ya machipuo iko ndani ya [[Hutu (kundinyota|Hutu ''(Pisces)'']] hivyo hapa iko nafasi ya 0°
 
{| class="wikitable" style="white-space: nowrap;"
|- align="center"
! colspan="2" | [[kundinyota]]
! rowspan="2" | [[Alama yake|Symbol]]
! rowspan="2" | Nafasi kwenye ekliptiki
! rowspan="2" | Kipindi cha kupita kwa Jua (mwaka 2010)
|- align="center"
! Kiswahili
! Kilatini
|- align="center"
| [[Hamali (kundinyota)|Hamali (Kondoo)]]
| Aries
| [[File:Aries.svg|50x25px|Hamali]]
| 28,8°–53,5°
| 19. Apr – 14. Mei
|- align="center"
| [[Thauri (kundinyota)|Thauri (Ng’ombe)]]
| Taurus
| [[File:Taurus.svg|50x25px|Thauri]]
| 53,5°–90,2°
| 14. Mei – 21. Jun
|- align="center"
| [[Jauza (kundinyota)|Jauza (Mapacha)]]
| Gemini
| [[File:Gemini.svg|50x25px|Jauza]]
| 90,2°–118,1°
| 21. Jun – 20. Jul
|- align="center"
| [[Saratani (kundinyota)|Saratani (Kaa)]]
| Cancer
| [[File:Cancer.svg|50x25px|Saratani]]
| 118,1°–138,2°
| 20. Jul. – 11. Aug. (22 Tage)
|- align="center"
| [[Asadi (kundinyota)|Asadi (Simba)]]
| Leo
| [[File:Leo.svg|50x25px|Löwe]]
| 138,2°–173,9°
| 11. Ago – 17. Sep
|- align="center"
| [[Nadhifa (kundinyota)|Nadhifa (Mashuke)]]
| Virgo
| [[File:Virgo.svg|50x25px|Nadhifa]]
| 173,9°–218,0°
| 17. Sep – 31. Okt
|- align="center"
| [[Mizani (kundinyota)|Mizani]]
| Libra
| [[File:Libra.svg|50x25px|Mizani]]
| 218,0°–241,0°
| 31. Okt. – 23. Nov
|- align="center"
| [[Akarabu (kundinyota)|Akarabu (Nge)]]
| Scorpius
| [[File:Scorpio.svg|50x25px|Akarabu]]
| 241,0°–247,7°
| 23. Nov. – 30. Nov
|- align="center"
| [[Hawaa (Kundinyota)|Hawaa]]
| Ophiuchus
| [[File:Ophiuchus zodiac.svg|50x25px|Hawaa]]
| 247,7°–266,3°
| 30. Nov – 18. Des
|- align="center"
| [[Kausi (kundinyota)|Kausi au Mshale]]
| Sagittarius
| [[File:Sagittarius.svg|50x25px|Kausi]]
| 266,3°–299,7°
| 18. Des – 20. Jan
|- align="center"
| [[Jadi (kundinyota)|Jadi au Mbuzi]]
| Capricornus
| [[File:Capricorn.svg|50x25px|Jadi (Capricornus)]]
| 299,7°–327,6°
| 20. Jan – 16. Feb
|- align="center"
| [[Wassermann (kundinyota)|Dalu au Ndoo]]
| Aquarius
| [[File:Aquarius.svg|50x25px|Dalu (Aquarius)]]
| 327,6°–351,6°
| 16. Feb – 12. Machi
|- align="center"
| [[Hutu (kundinyota)|Hutu au Samaki]]
| Pisces
| [[File:Pisces.svg|50x25px|Hutu (Pisces)]]
| 351,6°–28,8°
| 12. Machi – 19. Apr
|}
 
==Tazama pia==
* [[Buruji za falaki]]
{{mbegu-jio}}
 
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Astronomia]]