Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 37:
Sehemu kubwa ya masi ilijikaza katika kitovu na kuwa Jua lenyewe. Katika sehemu za nje ya sahani hiyo palikuwa na sehemu mbalimbali ambako masi ilijikaza pia; masi hizi hazikutosha kuanzisha mchakato wa [[Nyuklia|kinyuklia]] hivyo ni vyanzo yva sayari.
 
Katika sehemu nyingine masi hazikutosha kujikaza na hapo tunapata sehemu za Mfumo wa Jua kama vile [[kandaukanda lawa asteroidi]] kati ya Dunia[[Mirihi]] na [[MirihiMshtarii]] au [[kandaukanda yawa Kuiper]] ng'ambo ya sayari [[Neptun]].
 
Kutokana na asili ya pamoja katika sahani asilia ya mfumo wa Jua tunakuta sayari zote zinapatikana takriban katika bapa moja. Pia miendo yote ya sayari inafuata mwelekeo huohuo.