Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WikiWed.jpg‎|thumb|right|''[[Pete]]'', [[alama]] ya ndoa.]]
'''Ndoa''' ni muungano wa [[maisha]] yote kati ya [[watu]] wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na [[jamii]].
 
Katika [[utamaduni]] wa [[nchi]] nyingi uhusiano huo ni kati ya [[mwanamume]] mmoja na [[mwanamke]] mmoja tu na unalenga [[ustawi]] wao na [[uzazi]] wa [[watoto]] katika [[familia]].