Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Vwawa''' ni [[jina]] la [[mji]] na makao makuu ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Songwe]],na pia ni jimbo la Uchaguzi nchini [[Tanzania]]. Tena ni makao makuu ya Mkoa wa [[Mkoa wa Songwe|Songwe]].
 
'''Vwawa ''' ni sehemu ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Vwawa ilikuwa na wakazi wapatao 56,256 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53301.