Sanduku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|mfano wa sanduku dogo lilotengenezwa kwa chuma '''sanduku''' ni aina ya chombo kilichoundwa kwa ajili ya matumizi ya ku...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''sanduku''' ni aina ya [[chombo]] kilichoundwa kwa ajili ya matumizi ya kudumu ama ya [[muda]] kama [[Hifadhi]],na mara nyingi hutumika kwa ajili ya kusafirisha vitu mbalimbali.Pia hijulikana kwa jina lingine kama [[kasha]]
 
sanduku huenda likafanywa na [[mbao]] au [[chuma]], [[karatasi ngumu]]. kwa ukubwa yanaweza kutofautiana kutoka dogo sana (kama kasha la [[kiberiti]]) hadi kubwa sana (kama masanduku yanayo bebwayanayobebwa na [[meli]]).masanduku yapo ya [[maumbo]] tofauti mfano yapo yenye umbo la [[pembe tatu]],[[pembe nne]], [[duara]] na maumbo mengine mengi.