Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WikiWed.jpg‎|thumb|right|''[[Pete]]'', [[alama]] ya ndoa.]]
'''Ndoa''' ni muungano kati ya [[watu]] wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na [[jamii]]. Tukio la kuanzisha ndoa linaitwa [[harusi]]. Kama watu wanaohusika wakikomesha ndoa yao kwa kisheria, hali hii inaitwa [[talaka]].
 
Katika [[utamaduni]] wa [[nchi]] nyingi uhusiano huo ni kati ya [[mwanamume]] mmoja na [[mwanamke]] mmoja tu na unalenga [[ustawi]] wao na [[uzazi]] wa [[watoto]] katika [[familia]].
Mstari 6:
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawapo ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]] au upali), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].
 
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.
Tangu [[mwaka]] [[2000]] idadi inayozidi kuongezeka ya nchi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha [[dini]] na [[desturi]] au hata [[maumbile]] yenyewe ingawa tabia za kingono kati ya wanyama wa jinsia moja zimeonekana katika spishi 500 hivi duniani kote.<ref name="ReferenceA">{{cite book | author = Bagemihl, Bruce | title = Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher = St. Martin's Press | year = 1999 | isbn = 978-0-312-25377-6}}</ref><ref name="Biological Exuberance: Animal">{{cite web| last =Harrold | first =Max | title=Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher=[[The Advocate]], reprinted in Highbeam Encyclopedia | date=1999-02-16 | url=http://www.encyclopedia.com/doc/1G1-53877996.html | accessdate = 2007-09-10}}</ref>
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]] yanatazama ndoa kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili kuwa [[sakramenti]]: rejea [[Ndoa (sakramenti)]]. Hasa [[Kanisa Katoliki]] linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa talaka kutokana na kauli ya [[Yesu]]: "Mungu alichokiunganisha, binadamu asikitenganishe" ([[Mk]] 10:9).
[[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia [[mbili]].{{Fact|date=Juni 2018}}
 
==Suala la ndoa ya jinsia moja==
Uchunguzi mwingi umeonyesha kwamba watu waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha talaka cha chini sana kikilinganishwa na kile cha watu waliofunga ndoa za jinsia mbili.<ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref><ref name="The Demographics of Same-Se">{{cite journal |title=The Demographics of Same-Sex 'Marriages' in Norway and Sweden |last=Andersson |first=Gunnar |url=http://www-same-sex.ined.fr/WWW/04Doc124Gunnar.pdf |journal=Demography |volume=43 |issue=1 |date=February 2006 |pages=79–98 |format=PDF |doi=10.1353/dem.2006.0001}}</ref> Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za jinsia mbili na zile za wanawake wawili.<ref>{{cite web|last1=EL|title=Marital Bliss? Gender Gaps...|url=http://www.genderacrossborders.com/2012/02/27/marital-bliss-gender-gaps-in-dutch-same-sex-divorce-rates/|website=Gender Across Borders|accessdate=26 December 2015}}</ref> Kiwango cha talaka cha juu kati ya wanawake kinapatana na takwimu zinazoonyesha kwamba kwa ujumla wanawake huanzisha talaka zilizo nyingi.<ref>In the Netherlands of the 580 lesbian couples who were married in 2005, 30% were divorced ten years later compared to 18% for heterosexual couples and 15% for gay male couples. {{cite web | url=https://nltimes.nl/2016/03/30/marriages-women-likely-end-divorce |title=Marriages Between Women Most Likely To End In Divorce |author=Janene Pieters |work=NL Times |date=1 March 2016 |accessdate=17 May 2018}}</ref><ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref> Vilevile utafiti umeonyesha kwamba kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja kunahusishwa na upungufu mkubwa wa kiwango cha kujaribu kujiua kati ya watoto.<ref name="jamanetwork.com">{{cite web|title=Difference-in-Differences Analysis of the Association Between State Same-Sex Marriage Policies and Adolescent Suicide Attempts|url=https://jamanetwork.com/journals/jamapediatrics/fullarticle/2604258|website=[[Journal of the American Medical Association|Journal of the American Medical Association: Pediatrics]]}}</ref><ref name="usatoday.com">{{cite web|title=Study: Teen suicide attempts fell as same-sex marriage was legalized|url=https://www.usatoday.com/story/news/nation/2017/02/20/teen-suicide-down-as-same-sex-marriage-legalized-study/98179684/|website=[[USA Today]]|date=February 20, 2017}}</ref><ref name="pbs.org">{{cite web|title=Same-sex marriage laws linked to fewer youth suicide attempts, new study says|url=https://www.pbs.org/newshour/health/same-sex-marriage-fewer-youth-suicide|website=[[PBS]]|date=February 20, 2017}}</ref>
Tangu [[mwaka]] [[2000]] idadi inayozidi kuongezeka ya nchi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha [[dini]] na [[desturi]] au hata [[maumbile]] yenyewe ingawa tabia za kingono kati ya wanyama wa jinsia moja zimeonekana katika spishi 500 hivi duniani kote.<ref name="ReferenceA">{{cite book | author = Bagemihl, Bruce | title = Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher = St. Martin's Press | year = 1999 | isbn = 978-0-312-25377-6}}</ref><ref name="Biological Exuberance: Animal">{{cite web| last =Harrold | first =Max | title=Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher=[[The Advocate]], reprinted in Highbeam Encyclopedia | date=1999-02-16 | url=http://www.encyclopedia.com/doc/1G1-53877996.html | accessdate = 2007-09-10}}</ref>
 
[[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia [[mbili]].<ref>Symons suggests that all men are innately disposed to want sexual variation and that the difference between heterosexual and homosexual men is that homosexual men can find willing partners more often for casual sex, and thus satisfy this innate desire for sexual variety. Harris, C. R. (2002). "Sexual and romantic jealousy in heterosexual and homosexual adults". Psychological Science. 13 (1): 7–12. doi:10.1111/1467-9280.00402. PMID 11892782.</ref>
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.
 
Uchunguzi mwingi umeonyesha kwamba watuwanaume waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha talaka cha chini sana kikilinganishwa na kile cha watu waliofunga ndoa za jinsia mbili.<ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref><ref name="The Demographics of Same-Se">{{cite journal |title=The Demographics of Same-Sex 'Marriages' in Norway and Sweden |last=Andersson |first=Gunnar |url=http://www-same-sex.ined.fr/WWW/04Doc124Gunnar.pdf |journal=Demography |volume=43 |issue=1 |date=February 2006 |pages=79–98 |format=PDF |doi=10.1353/dem.2006.0001}}</ref> Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za jinsia mbili na zile za wanawake wawili.<ref>{{cite web|last1=EL|title=Marital Bliss? Gender Gaps...|url=http://www.genderacrossborders.com/2012/02/27/marital-bliss-gender-gaps-in-dutch-same-sex-divorce-rates/|website=Gender Across Borders|accessdate=26 December 2015}}</ref> Kiwango cha talaka cha juu kati ya wanawake kinapatana na takwimu zinazoonyesha kwamba kwa ujumla wanawake huanzishandio wanaoanzisha talaka zilizo nyingi.<ref>In the Netherlands of the 580 lesbian couples who were married in 2005, 30% were divorced ten years later compared to 18% for heterosexual couples and 15% for gay male couples. {{cite web | url=https://nltimes.nl/2016/03/30/marriages-women-likely-end-divorce |title=Marriages Between Women Most Likely To End In Divorce |author=Janene Pieters |work=NL Times |date=1 March 2016 |accessdate=17 May 2018}}</ref><ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref> Vilevile utafiti umeonyesha kwamba kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja kunahusishwa na upungufu mkubwa wa kiwango cha kujaribu kujiua kati ya watoto.<ref name="jamanetwork.com">{{cite web|title=Difference-in-Differences Analysis of the Association Between State Same-Sex Marriage Policies and Adolescent Suicide Attempts|url=https://jamanetwork.com/journals/jamapediatrics/fullarticle/2604258|website=[[Journal of the American Medical Association|Journal of the American Medical Association: Pediatrics]]}}</ref><ref name="usatoday.com">{{cite web|title=Study: Teen suicide attempts fell as same-sex marriage was legalized|url=https://www.usatoday.com/story/news/nation/2017/02/20/teen-suicide-down-as-same-sex-marriage-legalized-study/98179684/|website=[[USA Today]]|date=February 20, 2017}}</ref><ref name="pbs.org">{{cite web|title=Same-sex marriage laws linked to fewer youth suicide attempts, new study says|url=https://www.pbs.org/newshour/health/same-sex-marriage-fewer-youth-suicide|website=[[PBS]]|date=February 20, 2017}}</ref>
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]] yanatazama ndoa kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili kuwa [[sakramenti]]: rejea [[Ndoa (sakramenti)]]. Hasa [[Kanisa Katoliki]] linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa talaka kutokana na kauli ya [[Yesu]]: "Mungu alichokiunganisha, binadamu asikitenganishe" ([[Mk]] 10:9).
 
Hata hivyo, nchi nyingi, hasa za Afrika, hazikubali ndoa za jinsia moja. Sheria za nchi nyingine zinawapa watu wawili wa jinsia moja wanaoishi pamoja
haki karibu zilezile za watu wa ndoa, lakini zinakwepa kuita miungano hiyo "ndoa".
 
==Tanbihi==