Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Katika [[utamaduni]] wa [[nchi]] nyingi uhusiano huo ni kati ya [[mwanamume]] mmoja na [[mwanamke]] mmoja tu na unalenga [[ustawi]] wao na [[uzazi]] wa [[watoto]] katika [[familia]].
 
Katika nchi nyingine, hasa za [[Kiislamu]] na za [[Afrika]], inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawapo ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]] au upali), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine, hasa [[Ulaya]], hilo ni [[kosa la jinai]].
 
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.
Mstari 11:
 
==Suala la ndoa ya jinsia moja==
Tangu [[mwaka]] [[2000]] [[idadi]] inayozidi kuongezeka ya nchi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha [[dini]] na [[desturi]] au hata [[maumbile]] yenyewe. ingawa tabia[[Tabia]] za [[Ngono|kingono]] kati ya [[wanyama]] wa jinsia moja zimeonekana katika [[spishi]] 500 hivi [[duniani]] kote.,<ref name="ReferenceA">{{cite book | author = Bagemihl, Bruce | title = Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher = St. Martin's Press | year = 1999 | isbn = 978-0-312-25377-6}}</ref><ref name="Biological Exuberance: Animal">{{cite web| last =Harrold | first =Max | title=Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher=[[The Advocate]], reprinted in Highbeam Encyclopedia | date=1999-02-16 | url=http://www.encyclopedia.com/doc/1G1-53877996.html | accessdate = 2007-09-10}}</ref> lakini wanaosema kuwa [[ushoga]] ni kinyume cha maumbile wanamaanisha maumbile ya binadamu yanayotakiwa kuongozwa na [[akili]] na [[utashi]], si [[silika]] tu.
 
[[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] wa [[Moyo|moyoni]] na wa [[mwili|mwilini]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia [[mbili]].<ref>Symons suggests that all men are innately disposed to want sexual variation and that the difference between heterosexual and homosexual men is that homosexual men can find willing partners more often for casual sex, and thus satisfy this innate desire for sexual variety. Harris, C. R. (2002). "Sexual and romantic jealousy in heterosexual and homosexual adults". Psychological Science. 13 (1): 7–12. doi:10.1111/1467-9280.00402. PMID 11892782.</ref>
 
Uchunguzi mwingi umeonyesha kwamba wanaume waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha talaka cha chini kidogo kikilinganishwa na kile cha watu waliofunga ndoa za jinsia mbili.<ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref><ref name="The Demographics of Same-Se">{{cite journal |title=The Demographics of Same-Sex 'Marriages' in Norway and Sweden |last=Andersson |first=Gunnar |url=http://www-same-sex.ined.fr/WWW/04Doc124Gunnar.pdf |journal=Demography |volume=43 |issue=1 |date=February 2006 |pages=79–98 |format=PDF |doi=10.1353/dem.2006.0001}}</ref> Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za jinsia mbili na zile za wanawake wawili.<ref>{{cite web|last1=EL|title=Marital Bliss? Gender Gaps...|url=http://www.genderacrossborders.com/2012/02/27/marital-bliss-gender-gaps-in-dutch-same-sex-divorce-rates/|website=Gender Across Borders|accessdate=26 December 2015}}</ref>

Kiwango cha talakajuu cha juutalaka kati ya wanawake kinapatana na takwimu zinazoonyesha kwamba kwa ujumla wanawake ndio wanaoanzisha talaka zilizo nyingi.<ref>In the Netherlands of the 580 lesbian couples who were married in 2005, 30% were divorced ten years later compared to 18% for heterosexual couples and 15% for gay male couples. {{cite web | url=https://nltimes.nl/2016/03/30/marriages-women-likely-end-divorce |title=Marriages Between Women Most Likely To End In Divorce |author=Janene Pieters |work=NL Times |date=1 March 2016 |accessdate=17 May 2018}}</ref><ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref>

Vilevile utafiti umeonyeshafulani kwambaumehusianisha kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja kunahusishwa na upungufu mkubwa wa kiwango cha kujaribu [[kujiua]] kati yakwa watoto.<ref name="jamanetwork.com">{{cite web|title=Difference-in-Differences Analysis of the Association Between State Same-Sex Marriage Policies and Adolescent Suicide Attempts|url=https://jamanetwork.com/journals/jamapediatrics/fullarticle/2604258|website=[[Journal of the American Medical Association|Journal of the American Medical Association: Pediatrics]]}}</ref><ref name="usatoday.com">{{cite web|title=Study: Teen suicide attempts fell as same-sex marriage was legalized|url=https://www.usatoday.com/story/news/nation/2017/02/20/teen-suicide-down-as-same-sex-marriage-legalized-study/98179684/|website=[[USA Today]]|date=February 20, 2017}}</ref><ref name="pbs.org">{{cite web|title=Same-sex marriage laws linked to fewer youth suicide attempts, new study says|url=https://www.pbs.org/newshour/health/same-sex-marriage-fewer-youth-suicide|website=[[PBS]]|date=February 20, 2017}}</ref>
 
Hata hivyo, nchi nyingi, hasa za Afrika, hazikubali ndoa za jinsia moja. Sheria za nchi nyingine zinawapa watu wawili wa jinsia moja wanaoishi pamoja
[[haki]] karibu zilezile za watu wa ndoa, lakini zinakwepa kuita miungano hiyo "ndoa".
 
==Tanbihi==