Grand Theft Auto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|286x286px|[[Nembo ya '''Grand Theft Auto''' ]] '''Grand Theft Auto''' (GTA) ni mfululizo wa michezo iliyoun...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Grand Theft Auto logo series.svg|thumb|286x286px|[[Nembo]] ya '''Grand Theft Auto''' .]]
'''Grand Theft Auto''' (GTA) ni mfululizo wa [[michezo]] iliyoundwa na [[David Jones]] na [[Mike Dailly]]. Michezo hii iliundwa na Rockstar North na kuchapishwa na [[Rockstar Games]]. Jina la mfululizo linaelezea neno ambalo linatumika [[Marekani]] kwa [[wizi]] wa [[magari]].
 
Mfululizo wa Grand Theft Auto umewekwa kwa vipindi tofauti vya [[muda]]. Grand Theft Auto awali iliingizwa katika miji mikuu mitatu: '''Liberty city''' (kulingana na maeneo ya mji wa [[New York]]), '''Vice City''' , na '''San Andreas''' (kulingana na maeneo mengi ya [[California]]).

Michezo ya GTA inaweza kuchezeka katika [[vifaa]] vifuatavyo:
 
* [[Android]]
Line 73 ⟶ 75:
|}
 
<references />
 
{{Mbegu-michezo}}
[[Jamii:Michezo]]
<references />
[[Jamii:Kompyuta]]