Ty Dolla Sign : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Ty Dolla Sign '''Ty Dolla Sign'''(alizaliwa Aprili 13,1985)ni mwimbaji,mtayarishaji na mwandishi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:45, 10 Juni 2018

Ty Dolla Sign(alizaliwa Aprili 13,1985)ni mwimbaji,mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo wa Marekani.Baba yake alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Lakeside.Alianza kazi yake ya muziki mwaka 2007 kama mpiga gitaa.Mwaka 2010 alitoa nyimbo yake ya kwanza iliyojulikana kama Toot It and Boot It chini ya produza Def Jam Recordings.Mwaka 2013 alisaini mkataba na lebo iliyotambulika kama Wiz Khalifa's Taylor Gang Records ambapo mwaka 2015 alitoa albamu yakiliyoitwa Tree Tc.

Ty Dolla Sign