Vwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Vwawa''' ni [[jina]] la [[mji]] na [[makao makuu]] ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Songwe]],na pia ni [[jimbo]] la Uchaguzi nchini [[Tanzaniauchaguzi]]. Tena ni makao makuu ya Mkoa wanchini [[Mkoa wa Songwe|SongweTanzania]].
 
[[Mji]] huo unapatikana [[Nyanda za Juu za Kusini]] [[mkoa]] mpya wa Songwe (zamani sehemu ya [[mkoa wa Mbeya]]) tena na ni makao makuu ya [[mkoa]] huo.
'''Vwawa ''' ni sehemu ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Vwawa ilikuwa na wakazi wapatao 56,256 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53301.
 
'''VwawaWakati ''' ni sehemu yawa [[Wilaya ya Mbozisensa]] katikailiyofanyika [[Mkoamwaka]] wa Mbeya[[2012]], [[Tanzaniakata]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Vwawa ilikuwa na wakazi wapatao 56,256 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53301.
Asili ya jina la Vwawa ni mtemi au mlima.
 
[[Asili]] ya [[jina]] la Vwawa ni [[mtemi]] au [[mlima]].
Vwawa ni [[makao makuu]] ya [[wilaya]] ya Mbozi. [[Mji]] huo unapatikana [[nyanda za juu kusini]] [[mkoa]] mpya wa Songwe, zamani Mbeya.
 
Mji huu uko kando ya [[barabara kuu]] kuukupitia iendayomikoa ya Mbeya, [[ZambiaMkoa wa Njombe|Njombe]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]], [[Mkoa wa Pwani|Pwani]] kutokea [[Jiji|jijini]] [[Jiji la Dar es Salaam|Dar es Salaam]]. Barabara hiyo inakwenda [[Zambia]] na [[Malawi]] kupitia [[wilaya ya Ileje]] na [[mkoa wa Rukwa]].
 
Mji huu umepitiwa pia na [[reli]] ya [[TAZARA]] kutokea jijini Dar es Salaam hadi [[Kapiri Mposhi]] nchini Zambia.
Mji huu una wenyeji ambao ni [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wanyamwanga]], lakini pia ma[[kabila]] mengine ambayo si asili katika wilaya ya Mbozi.
 
Mji huu una wenyeji ambao ni [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wanyamwanga]] na baadhi ya [[Wanyakyusa]] wapatikanao katika maeneo ya masoko na [[Ndolezi]] wilayani Mbozi, lakini pia ma[[kabila]] mengine ambayo si asili katika wilaya ya Mbozi.
Mji huu una mitaa yake ambayo ni Ilolo, Mwenge, Ilembo, Mtambwe, Jim road, Isangu, Ichenjezya, Mbugani na Vwawa day.
 
Mji huu una [[mitaa]] yake ambayo ni: Old Vwawa, Ilolo, Mwenge, Ichenjezya, Ilembo, Frolida, Mbimba Itemba, Mtambwe, Jim road, Isangu, Ichenjezya, Mbugani na Vwawa day.
Mji huu umetoa wasomi wengi sana ambao ni [[chachu]] ya [[maendeleo]] kwa nchi ya Tanzania.
 
Mji huu umetoa [[wasomi]] wengi sana ambao ni [[chachu]] ya [[maendeleo]] kwa nchi ya Tanzania.
==Habari nyingine kuhusu Vwawa==
Mnamo mwaka 2015 jina la Vwawa liliingia katika vichwa vikuu vya habari nchini Tanzania baada ya kuhusishwa na harakati za kuufanya kuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe kabla ya kupitishwa kwake rasmi mnamo mwaka 2016. Vwawa ni mji ambao ni makao makuu ya wilaya ya Mbozi lakini pia makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe.
 
Mji huu umezungukwa na [[huduma]] mbalimbali za kijamii ikiwemo za [[serikali]] na watu binafsi kama vile [[shule]], [[hospitali]], [[nyumba]] za serikali, [[benki]] na huduma nyingine kama vile [[vituo vya mafuta]], [[Soko|masoko]], [[maji]] ya kutosha na [[umeme]].
Mji huu upo nyanda za juu kusini ukiwa umepitiwa na barabara kuu iendayo [[Zambia]] kupitia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa, Morogorogo, Pwani kutokea jijini Dar es Salaam. Vwawa pia imepitiwa na reli ya [[TAZARA]] kutokea jijini Dar es Salaam hadi [[Kapiri Mposhi]] nchini Zambia.
 
Mji huu una [[ardhi]] nzuri ambayo si ya hali ya [[ukame]] na ambayo inaruhusu uwepo wa [[vyakula]] vya aina nyingi kwa vipindi vyote, yaani [[kiangazi]] na [[masika]].
Wenyeji wa mwanzo wa mji huu ni makabila ya [[Wanyiha]], [[Wandali]], [[Wanyamwanga]] na baadhi ya [[Wanyakyusa]] wapatikanao katika maeneo ya masoko na Ndolezi wilayani Mbozi. Vwawa ni mji wenye mitaa yake ambayo ni Old Vwawa, Ilolo, Isangu, Vwawa day, Ichenjezya, Ilembo, Frolida, Mbimba Itemba, na Mtambwe. Mji huu umezungukwa na huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo za kiserikali na watu binafsi kama vile shule, hospitali, nyumba za serikali, benki na huduma nyingine kama vile vituo vya mafuta, masoko, maji ya kutosha na umeme.
 
[[Mlima Ng'amba]] na [[milima]] mingine ionekanayo kwa [[umbali]] ni kati ya vitu vioneshayo Vwawa kwa [[uzuri]] wa kipekee.
Mji huu ni mji wenye ardhi nzuri ambayo si ya hali ya ukame ambayo inaruhusu uwepo wa vyakula vya aina nyingi kwa vipindi vyote yaani kiangazi na masika. Mlima Ng'amba na milima mingine ionekanayo kwa umbali ni moja ya vitu vioneshayo Vwawa kwa uzuri wa kipekee. Kazi nzuri ifanywayo na jeshi la polisi pamoja na ukarimu pia ushirikiano wa watu wa Vwawa ni moja ya vitu viifanyayo Vwawa kuwa mji wenye utulivu muda wote. Kwa miaka mingi Vwawa imeonekana kutoa wasomi wengi sana ambao wamekua chachu ya maendeleo ya taifa hili katika nyanja mbalimbali.
 
[[Kazi]] nzuri ifanywayo na [[jeshi]] la [[polisi]] pamoja na [[ukarimu]] pia [[ushirikiano]] wa watu wa Vwawa vimefanya Vwawa kuwa mji wenye [[utulivu]] muda wote.
Uwepo wa makampuni binafsi kama vile Ilasi, Unyiha, ADP na mengine mengi ambayo hayajatajwa yamesaidia sana sekta za elimu, uchumi, habari na masuala ya kilimo. Pia Vwawa inatoa fursa ya uwekezaji kwa wageni na wenyeji katika masuala mbalimbali. Wenyeji wa mji huu wa Vwawa wanawakaribisha sana wageni wa mikoa na wilaya nyingine ili kuwezesha mzunguko wa kibiashara na kijamii.
 
MnamoHata hivyo, mnamo mwaka [[2015]] jina la Vwawa liliingia katika vichwa vikuu vya habari nchini Tanzania baada ya kuhusishwa na [[harakati]] za kuufanya kuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe kabla ya kupitishwa kwake rasmi mnamo mwaka [[2016. Vwawa ni mji ambao ni makao makuu ya wilaya ya Mbozi lakini pia makao makuu ya mkoa mpya wa Songwe]].
Uwepo wa kampuni binafsi kama vile Ilasi, Unyiha, ADP na nyingine nyingi umesaidia sana sekta za [[elimu]], [[uchumi]], [[habari]] na masuala ya [[kilimo]].
 
Uwepo wa makampuni binafsi kama vile Ilasi, Unyiha, ADP na mengine mengi ambayo hayajatajwa yamesaidia sana sekta za elimu, uchumi, habari na masuala ya kilimo. Pia Vwawa inatoa fursa ya [[uwekezaji]] kwa [[wageni]] na wenyeji katika masuala mbalimbali. Wenyeji wa mji huu wa Vwawa wanawakaribisha sana wageni wa mikoa na wilaya nyingine ili kuwezesha mzunguko wa kibiashara na wa kijamii.
 
==Marejeo==
Line 51 ⟶ 55:
{{Kata za Wilaya ya Mbozi}}
{{mbegu-jio-mbeya}}
 
 
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]