Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
 
==Kahawa kwa kupunguza uzani mwilini==
Wanaouza dawa za kupunguza uzani husema kwamba kafeini iliyomo katika kahawa huchangia katika kuyeyusha [[mafuta]]. Hili hufanyika wakati [[mwili]] unapotoa [[joto]]. Katika ile hali ya kutoa joto (thermogenesis) mafuta huyeyushwa na kufanywa kawi. <ref>Makala ya [https://www.webmd.com/diet/news/20000322/drinking-green-tea-may-help-you-lose-weight Webmd] yaonyesha kwamba kafeini huinua joto mwilini kutoka asilima ishirini na nane hadi sabini na saba.</ref> Hata hivyo, hili laweza kuchangia upotovuupotevu wa usingizi wakati wa usiku pamoja na kuwa na wasiwasi[[fadhaiko]] (anxiety) kama inavyoelezwa na <ref>[https://justforweightloss.com/gnc-thermogenic-fat-burners/ gnc thermogenics]</ref>.
 
== Njia za kutengeneza kahawa ==