Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Leaders welcoming boy into Mexico Scouting.jpg|thumb|Viongozi wakipokea mtoto katika chama cha skauti huko [[Mexico City]], [[Mexico]].|242x242px]]
'''Skauti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "scout") ni [[mtoto]] au [[kijana]] anayewajibika katika [[chama]] cha kimataifa, akivaa [[sare]] kama ya [[askari]] mdogo na kukaa katika safu.
 
Mstari 6:
Chama hicho hakibagui vijana kwa msingi wa [[jinsia]], [[umri]], [[dini]], [[rangi]] wala [[kabila]].
 
Skauti huhitajika kuwepo kwa kila [[shule]] za [[sekondari]]|sekondari [[duniani]].
 
[[Mwanzilishi]] wa [[chama cha skauti]] [[duniani]] ([[1907]]) aliitwa [[Robert Baden-Powell]] ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]].
Mstari 22:
*10. Skauti ni safi katika mawazo, maneno na matendo yake.
*101/2. Skauti si mjinga na mjinga si skauti (Kanuni hii imetolewa na mwalimu [[Julius K. Nyerere]])
{{mbegu}}HISTORIA YA SKAUTI
[[Picha:Scouting for boys 1 1908.jpg|thumb]]
S
 
[[Jamii:Malezi]]