Wikipedia:Sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
<span style="color:red"><big>'''ANZA HAPO CHINI - START BELOW THIS:'''</br>Uko huru kufuta yote yaliyo chini ya hapo</big></br></span>
 
'''Kingámuzi Reda''' ni kifaa cha kitechnologia kinachotambua iwapo mwendo wa gari unafwatiliwa na polisi au walinda sheria wakitumia tochi ya kutambua mwendo (radar gun).<ref>{{Cite news|url=http://www.ratedradardetector.org/blog/benefits/|title=Radar Detector Benefits - Rated Radar Detector|last=William|first=|date=2017-07-13|work=Rated Radar Detector|access-date=2018-06-11|language=en-US}}</ref> Kifaa hiki hutumika sana sana na dereva wa magaria kutambua maeneo ambayo maafisa wa kudhibiti mwendo walipo ilikupunguza mwendo kabla ya mwendo wao kuwatia mashakani. Hata hivyo umiliki na matumizi ya Kingámuzi Rada ni haramu nchi nyingi duniani na huchukuliwa kama uvunjaji sheria.