King'amuzi rada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|King'amuzi Rada '''Kingámuzi Rada''', maarufu kama "Radar Detector" kwa lugha ya kingereza, ni kifaa cha kitechnologia...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Car radar detector.jpg|thumb|King'amuzi Rada ]]
'''Kingámuzi Rada''', maarufu kama "Radar Detector" kwa lugha ya kingereza, ni kifaa cha kitechnologia kinachotambua iwapo mwendo wa gari unafwatiliwa na polisi au walinda sheria wakitumia tochi ya kutambua mwendo (radar gun).<ref>{{Cite news|url=http://www.ratedradardetector.org/blog/benefits/|title=Radar Detector Benefits - Rated Radar Detector|last=William|first=|date=2017-07-13|work=Rated Radar Detector|access-date=2018-06-11|language=en-US}}</ref> Kifaa hiki hutumika sana sana na dereva wa magaria kutambua maeneo ambayo maafisa wa kudhibiti mwendo walipo ilikupunguza mwendo kabla ya mwendo wao kuwatia mashakani. Hata hivyo umiliki na matumizi ya Kingámuzi Rada ni kinyume cha sheria nchi nyingi duniani na huchukuliwa kama uvunjaji sheria. Umarekani ni moja wapo wa nchi ambazo ni kinyume cha sheria kutumia kingámuzi rada bila leseni maalum.<ref>{{cite web|url=http://www.fcc.gov/Reports/1934new.pdf|title=Communications Act of 1934: as amended by Telecom Act of 1996|format=PDF|date=|accessdate=20102018-1006-1711}}</ref>
 
== References ==