King'amuzi rada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Kingámuzi Rada hadi King'amuzi rada: usahihi wa tahajia
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Car radar detector.jpg|thumb|King'amuzi Rada ]]
[[Image:Fuzzbuster2000.jpg|right|250px|thumb|Ditekta ya zamani kidogo.]]
'''King'amuzi Rada''', maarufu kama "Radar Detector" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]], ni [[kifaa]] cha [[teknolojia]] ya juu kinachotambua iwapo mwendo wa [[gari]] unafwatiliwa na [[polisi]] au walinda sheria wakitumia [[tochi]] ya kutambua mwendo (radar gun).<ref>{{Cite news|url=http://www.ratedradardetector.org/blog/benefits/|title=Radar Detector Benefits - Rated Radar Detector|last=William|first=|date=2017-07-13|work=Rated Radar Detector|access-date=2018-06-11|language=en-US}}</ref>
[[Image:Car radar detector.jpg|250px|thumb|Ditekta ya Kijapani.]]
'''King'amuzi Radarada''', maarufu(pia: kama'''Ditekta ya rada''' kutoka [[jina]] "Radar Detector" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]],) ni [[kifaa]] cha [[teknolojia]] ya juu kinachotambua iwapo mwendo wa [[gari]] unafwatiliwa na [[polisi]] au walinda sheria wakitumia [[tochi]] ya kutambua mwendo (radar gun).<ref>{{Cite news|url=http://www.ratedradardetector.org/blog/benefits/|title=Radar Detector Benefits - Rated Radar Detector|last=William|first=|date=2017-07-13|work=Rated Radar Detector|access-date=2018-06-11|language=en-US}}</ref>
 
Kifaa hicho cha [[umeme]] hutumiwa sanasana na [[dereva]] wa [[gari]] kuchunguza kama [[kasi]] ya magari yao inatazamwa kwa kutumia [[bunduki ya rada]] na [[askari]] wa [[usalama wa barabarani]] au maofisa wengine wa [[usalama]]. Wakitambua maeneo ambayo [[afisa|maafisa]] wa kudhibiti mwendo walipo wanapunguza kasi ya gari kabla ya kusimamishwa na kupewa [[faini]] au kutiwa mashakani.
Kifaa hicho hutumika sanasana na [[dereva]] wa [[gari]] kutambua maeneo ambayo [[afisa|maafisa]] wa kudhibiti mwendo walipo ili kupunguza mwendo kabla ya mwendo wao kuwatia mashakani. Hata hivyo [[umiliki]] na matumizi ya King'amuzi Rada ni kinyume cha [[sheria]] katika nchi nyingi [[duniani]] na huchukuliwa kama uvunjaji [[sheria]]. [[Marekani]] ni mojawapo kati ya nchi ambako ni kinyume cha sheria kutumia king'amuzi rada bila [[leseni]] maalum.<ref>{{cite web|url=http://www.fcc.gov/Reports/1934new.pdf|title=Communications Act of 1934: as amended by Telecom Act of 1996|format=PDF|date=|accessdate=2018-06-11}}</ref>
 
==Sheria==
Hata hivyo [[umiliki]] na matumizi ya King'amuzi rada ni kinyume cha [[sheria]] katika nchi nyingi [[duniani]] na huchukuliwa kama uvunjaji [[sheria]]. Chombo hiki ni kinyume cha sheria kwenye nchi kama vile [[Australia]], [[Ubelgiji]], [[Brazili]] na [[Ufaransa]], wakati katika nchi za [[Japani]], [[Kazakistani]], [[Pakistani]] na [[Ufilipino]] ni halali.
 
[[Marekani]] ni mojawapo kati ya nchi ambako ni kinyume cha sheria kutumia king'amuzi rada bila [[leseni]] maalum.<ref>{{cite web|url=http://www.fcc.gov/Reports/1934new.pdf|title=Communications Act of 1934: as amended by Telecom Act of 1996|format=PDF|date=|accessdate=2018-06-11}}</ref> Katika baadhi ya nchi, [[polisi]] hutumia [[ditekta ya ditekta ya rada]] ili kutambua madereva wanaotumia chombo hiki.
 
Kutumia au kuwa na ditekta ya rada ni kinyume cha [[sheria]] katika nchi mbalimbali ambapo ukikutwa nacho unaadhibiwa kwa faini na kunyang'anywa chombo hiki. Nchi hizi huamini kuwa madereva wanaotumia chombo hivi wanahatarisha [[maisha]] ya watumiaji wa [[barabara]] kuliko madereva wasiotumia.
 
==Tanbihi==
Line 9 ⟶ 18:
== Marejeo ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/Radar_detector
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.ratedradardetector.org/blog/is-it-illegal-to-have-a-radar-detector/ Je ni kinyume cha sheria kuwa na ditekta ya rada?]
{{tech-stub}}
{{DEFAULTSORT:King'amuzi Rada}}