Uyoga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
''<sup>Kwa kundi la muziki nchini Kenya tazama [[Uyoga (bendi)]]</sup>''
[[Image:Mushroom 02.jpg|thumb|right|Uyoga.]]
'''Uyoga''' ni sehemu ya [[kuvu]] inayotokea juu ya [[ardhi]] na kukuza [[vibufu]] vinavyofanana na [[mbegu]] ya [[mimea]]. Uyoga mara nyingi huitwa [[mimea]] lakini si mimea, ni sehemu ndogo ya kuvu au(kwa [[Kilatini]]: fungi).
 
Kazi ya uyoga kwa fungi yake ni kama [[matunda]] kwa mmea yaani ni kusaidia kuzaa na kusambaza.
Mstari 7:
Uyoga ni sehemu ndogo tu ya fungi yote inayoendelea kama [[miseli]] ndani ya ardhi kwa [[mita]] nyingi.
 
Uyoga si fungi yenyewe bali kitu kama tunda lake. Unajengwa na [[nyuzi]] nyingi za kungunyanzi na kuwa mahali pa kukuza vibufu ambavyo ni kama mbegu waya fungi.
 
==Uyoga kama chakula==
Uyoga ni maarufu kama [[chakula]], lakini ni chakula kinachohitaji uangalifu na [[utaalamu]]. Zinapikwa, kukaangwa na aina kadhaa pia huunganishwa bichi katika [[saladi]].
 
Uyoga huwa na [[protini]] nyingi pamoja na [[madini]] na [[vitamini]] ndani yake. Kwa hiyo ni [[chakula bora]].
 
Kwa upande mwingine kuna uyoga za [[sumu]] zinazofanana na uyoga za kuliwa, lakini sumu yake ni kali kiasi cha kuweza kuua.
Mstari 19:
Uyoga huvunwa pale zinapokua. Hizi zinauzwa [[barabara|barabarani]] au [[soko|sokoni]].
 
Aina kadhaa (kwa mfano [[champignon]]) zinalimwa [[Biashara|kibiashara]] na kuuzwa kwenye [[Duka|maduka]] makubwa. Ni aina zinazofaa kutunzwa katika [[friji]] kwa [[siku]] kadhaa.
 
{{mbegu-biolojia}}