Tofauti kati ya marekesbisho "Maigizo"

1 byte removed ,  miaka 2 iliyopita
maigizo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
(maigizo)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
'''Maigizo''' ni mpangilio wa maneno unaombatana na utendaji wa wahusika. Wahusika huwa wanaiga mambo ambayo yanafanywa na jamii husika na kuyaonesha mbele ya hadhira. Pia maneno yanayosemwa na wahusika yanalingana na yale ya jamii husika.
 
Hivyo basi katika sanaa hii hutumia vitendo, misegeo/mijongeo ya mwili na miondoko mbalimbali kwa umbo lenye kuvutia hadhira. Wakati mwingine maigizo huambatana na nyimbo. Utanzu wa maigizo hujumuisha vipera kama vile:- [[matambiko]], [[majigambo]], [[ngonjera]], [[ngoma]], [[vichekesho]], [[michezo]] ya jukwani na kadhalika.
 
==Tazama pia==
*[[Fasihi]]mambo yakuzingatia katika sanaa za maigizo
Anonymous user