PlayStation 4 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''PlayStation 4''' (pia inajulikana kwa [[jina]] la '''PS4''') ni kitu cha kujifurahisha cha [[michezo]] ya [[kompyuta]] ambayo hutumika majumbani iliyotolewa na ''Sony Computer Entertainment'' na inaambatana na [[PlayStation 3]].
 
Ilitangazwa rasmi katika mkutano wa [[waandishi]] wa [[habari]] [[tarehe]] [[20 Februari]] [[2013]] na ilizinduliwa mnamo [[Novemba 15]] [[2013]].
 
PS4 ina michezo mingi ikiwa ni pamoja na [[Minecraft]], [[Just Aause 3]] na [[call of duty]] nkn.k.
 
{{mbegu-michezo}}
 
[[Jamii:Michezo]]