Julius Nyerere : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 64:
Kabla ya kuingia kwenye [[siasa]] alikuwa ni [[mwalimu]]. [[Kazi]] hiyo ndiyo iliyompatia jina ambalo lilimkaa maisha yake yote la "Mwalimu."
 
Kwanza aliongoza [[Tanganyika]] toka mwaka [[1961]] hadi [[1964]] kama [[waziri mkuu]], halafu kama rais; baada ya [[muungano]] wakewa [[tanganyika]] na [[Zanzibar]], aliongoza Tanzania kuanzia mwaka [[1964]] hadi mwaka [[1985]] kama rais.
 
Mwalimu Nyerere ni kati ya viongozi wachache wa [[Afrika]] ambao wameacha [[madaraka]] kwa [[hiari]] baada ya kutawala kwa muda mrefu, akiwa bado anapendwa na wananchi walio wengi katika [[nchi]].
 
Alipostaafu urais mwaka [[1985]] alirudi kijijini kwake Butiama ambako aliendesha shughuli za [[kilimo]]. Hata hivyo aliendelea kuwa na athari kubwa katika siasa ya Tanzania hadi kifo chake.
 
Kwa ruhusa ya [[makao makuu]] ya [[Kanisa Katoliki]] duniani, [[Jimbo Katoliki la Musoma]] linashughulikia [[kesi]] ya kumtangaza [[mwenye heri]] na hatimaye [[mtakatifu]]. Kwa sababu hiyo anaitwa pia "[[Mungu|mtumishi wa [[Mungu]]".]]
 
==[[Mungu|Maisha yake]]==
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka [[1922]] katika kijiji cha [[Butiama]], wilaya ya [[Musoma vijijini|Musoma]], [[mkoa wa Mara]], Tanzania (wakati ule: [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]]).
 
Alikuwa mmojawapo kati watoto 26 wa Nyerere Burito, [[chifu]] wa [[kabila]] la [[Wazanaki]].