Tofauti kati ya marekesbisho "Julius Nyerere"

no edit summary
| order =
| office = [[Rais wa Tanzania]]
| term_start = 26 AprilAprili 1964
| term_end = 5 NovemberNovemba 1985
| vicepresident = [[Abeid Karume]] <small>(1964–72)</small><br> [[Aboud Jumbe]] <small>(1972–84)</small><br> [[Ali Hassan Mwinyi]] <small>(1984–85)</small>
| predecessor =
| order2 =
| office2 = Rais wa Tanganyika
| term_start2 = 9 DecemberDesemba 1962
| term_end2 = 25 AprilAprili 1964
| vicepresident2 =
| primeminister2 = [[Rashidi Kawawa]]
| order3 =
| office3 = Waziri Mkuu wa Tanganyika
| term_start3 = 1 MayMei 1961
| term_end3 = 22 JanuaryJanuari 1962
| president3 =
| monarch3 = [[Elizabeth II]]
| order4 =
| office4 = Waziri Kiongozi wa Tanganyika
| term_start4 = 2 SeptemberSeptemba 1960
| term_end4 = 1 MayMei 1961
| president4 =
| monarch4 = [[Elizabeth II]]
| restingplace = [[Butiama]], [[Tanzania]]
| nationality = M[[tanzania]]
| spouse = [[Maria Nyerere]]
| party = [[Chama cha Mapinduzi|CCM]]
| relations =
| alma_mater = [[Chuo Kikuu cha Makerere]] <br> Chuo Kikuu cha Edinburgh
| occupation =
| profession = [[Mwalimu]]
| religion = [[Ukristo]] ([[Katoliki]])
| signature =
}}
{{History of Tanzania}}
'''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere''' ([[Butiama]], mkoani [[Mkoa wa Mara|Mara]], pembezoni mwa [[Ziwa Nyanza]], [[13 Aprili]] [[1922]] - [[London]], [[Uingereza]], [[14 Oktoba]] [[1999]]) alikuwa [[rais]] wa kwanza wa [[Tanzania]], na mara nyingi anatajwa kama "baba wa taifa". Kwa hakika aliiathiri kuliko yeyote yule. Ndiye mwasisi wa [[itikadi]] ya [[ujamaa]] na [[kujitegemea]] iliyotangazwa hasa katika [[Azimio la Arusha]].
 
Ndiye mwasisi wa [[itikadi]] ya [[ujamaa]] na [[kujitegemea]] iliyotangazwa hasa katika [[Azimio la Arusha]].
 
Kabla ya kuingia kwenye [[siasa]] alikuwa ni [[mwalimu]]. [[Kazi]] hiyo ndiyo iliyompatia jina ambalo lilimkaa maisha yake yote la "Mwalimu."
 
Kwanza aliongoza [[Tanganyika]] toka mwaka [[1961]] hadi [[1964]] kama [[waziri mkuu]], halafu kama rais; baada ya [[muungano]] wa [[tanganyikaTanganyika]] na [[Zanzibar]], aliongoza Tanzania kuanzia mwaka [[1964]] hadi mwaka [[1985]] kama rais.
 
Mwalimu Nyerere ni kati ya viongozi wachache wa [[Afrika]] ambao wameacha [[madaraka]] kwa [[hiari]] baada ya kutawala kwa muda mrefu, akiwa bado anapendwa na wananchi walio wengi katika [[nchi]].
 
Alipostaafu urais mwaka [[1985]] alirudi [[Kijiji|kijijini]] kwake Butiama ambako aliendesha shughuli za [[kilimo]]. Hata hivyo aliendelea kuwa na athari kubwa katika siasa ya Tanzania hadi kifo chake.
 
Kwa ruhusa ya [[makao makuu]] ya [[Kanisa Katoliki]] duniani, [[Jimbo Katoliki la Musoma]] linashughulikia [[kesi]] ya kumtangaza [[mwenye heri]] na hatimaye [[mtakatifu]]. Kwa sababu hiyo anaitwa pia "[[Mungu|mtumishi wa Mungu]]".]]
 
==[[Mungu|Maisha yake]]==
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka [[1922]] katika kijiji cha [[Butiama]], wilaya ya [[Musoma vijijini|Musoma]], [[mkoa wa Mara]], Tanzania (wakati ule: [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]]).
 
Alikuwa mmojawapo kati watoto 26 wa Nyerere Burito, [[chifu]] wa [[kabila]] la [[Wazanaki]].
 
Alipokuwa mtoto Nyerere alichunga mifugo ya [[baba]] yake; katika umri wa miaka 12 aliingia [[shule]] akitembea [[kilomita]] 30 hadi [[Musoma]].
 
Baada ya kumaliza [[shule ya msingi]] aliendelea kusomea shule ya [[wamisionari]] [[Wakatoliki]] huko [[Tabora]].
 
Katika [[umri]] wa miaka 20 [[ubatizo|alibatizwa]] akawa [[Mkristo]] Mkatoliki hadi mwisho wa maisha yake.
 
Ma[[padri]] wakiona [[akili]] yake kubwa walimsaidia kusomea ualimu huko [[Makerere]], [[Kampala]], [[Uganda]] kuanzia mwaka [[1943]] hadi [[1945]].