Mwai Kibaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
 
==Uchaguzi wa urais 2002==
Katika uchaguzi wa 2002 Kibaki alishinda na kutangazwa kuwa Rais wa Kenya. Alikuwa mgombea wa maungano wa vikundi vingi vya upinzani vilivyoshirikiana kwa jina la "[[NARC]]".
 
Kibaki ameweka historia mwezi Novemba, 2005 baada ya kuwa Rais wa kwanza nchini Kenya kuondoa baraza lote la mawaziri kufuatia [[kura ya maoni]] ambayo ilikuwa inahusu katiba mpya ya Kenya. Kibaki alikuwa upande wa kundi lililokuwa likiunga mkono katiba hiyo [[kambi ya ndizi]]. Kundi lililokuwa likiipinga katiba hiyo [[kambi ya machungwa]] lilipata ushindi.
 
==Uchaguzi wa urais 2007==
Uchaguzi wa 28 Desemba 2007 ulimrudisha Kibaki kwa kipindi cha pili kama rais. Uchaguzi huu ulipingwa na chama cha upinzani na watazamaji wa kimatifa kuwa matokeo yake hayakuwa sahihi na kubiniwa. Mpinzani wake [[Raila Odinga]] alikuwa mbele katika hesabu za kura hadi kamati ya uchaguzi ilisimamisha hesabu ya kura; baada ya kuendelea na matanganzo Kibaki alionekana kuwa mbele. Kuna hofu ya kwamba matokeo ya majimbo ya uchaguzi kadhaa yalibadilishwa upande wake kwa kumwongezea kura. Kibaki aliapishwa upya kuwa rais wa Kenya masaa machache tu baada ya kutangazwa kuwa mshindi; hafla ilifanywa katika bustani ya ikulu ya Nairobi bila wananchi kuruhusiwa kushuhudia.
 
[[Category:Wanasiasa wa Kenya|Kibaki]]