Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1020126 lililoandikwa na A'dilbek Qazyhanov (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 16:
| Tovuti = [http://www.michaeljackson.com MichaelJackson.com]
}}
'''Michael Joseph Jackson''' ([[29 Agosti]] [[1958]] – [[25 Juni]] [[2009]]) alikuwa [[mwimbaji]], dansamchezaji [[dansi]] na mburudishaji kutoka nchini [[Marekani]]. Hufahamika zaidipia kwa jina la kiheshimaheshima-utani kama ''Mfalme wa Pop. Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya muziki. Michango yake katika muziki, dansi na fasheni,<ref name="Jackson: A Fashion Retrospective">film.com: [http://www.film.com/celebrities/michael-jackson/story/michael-jackson-a-fashion-retrospective/28853307''Michael Jackson: A Fashion Retrospective,] 29. Novemba 2009</ref> na hasa suala la kuanika hadharani maisha yake binafsi, imemfanya awe kioo cha ulimwengu katika tamaduni maarufu kwa ziaidi ya miongo minne .
 
Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya [[muziki]].
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la [[The Jackson 5]] mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 ''[[Thriller]]'' imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango waka katika utengenezaji wa muziki wa video umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile ''[[Billie Jean]]'', ''[[Beat It]]'' na '' [[Thriller (wimbo)|Thriller]]'' inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye [[MTV]]. Jackson ameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile [[robot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalk]]. Staili ya muziki wake, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
 
Michango yake katika muziki, dansi na [[fasheni]],<ref name="Jackson: A Fashion Retrospective">film.com: [http://www.film.com/celebrities/michael-jackson/story/michael-jackson-a-fashion-retrospective/28853307''Michael Jackson: A Fashion Retrospective,] 29. Novemba 2009</ref> na hasa suala la kuanika hadharani [[maisha]] yake binafsi, imemfanya awe [[kioo]] cha [[ulimwengu]] katika [[tamaduni]] maarufu kwa zaidi ya miongo minne .
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye [[Rock and Roll Hall of Fame]]. Mafanikio mengine yanajumlisha ''[[Guinness World Records]]'' (ikiwa ni pamoja ''Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote''), Tuzo za [[Grammy Award|Grammy]] 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya ''[[Living Legend Award]]'' na ile ya ''Lifetime Achievement Award''), 26 [[American Music Awards]] (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya ''Msanii wa Karne'')—zaidi ya msanii mwingine yeyote— single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima,<ref name=" Michael Jackson album sales soar">{{cite web |url=http://edition.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/06/26/michael.jackson.album.sales/|title= Michael Jackson album sales soar|publisher=[[CNN]]|date=2009-06-26|accessdate=2009-09-02}}</ref> inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea .<ref>{{cite web|last=Bialik |first=Carl |url=http://online.wsj.com/article/SB124760651612341407.html |title=The Wall Street Journal, Spun: The Off-the-Wall Accounting of Record Sales by Carl Bialik, Retrieved August 21, 2009 |publisher=Online.wsj.com |date=15 Julai 2009 |accessdate=2 Septemba 2009}}</ref>
 
Akiwa pamoja na [[ndugu]] zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika [[kundi]] la [[The Jackson 5]] mnamo mwaka wa [[1964]]. Ameanza kazi ya [[usanii]] wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971.
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. [[Afya na Mwonekano wa Michael Jackson|Kujibadilisha kwa mwonekano wake]] ilianza kutambulika tangu mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari. Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali. Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 na akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.
 
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la [[The Jackson 5Albamu]] mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 ''[[Thriller]]'' imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango wakawake katika utengenezaji wa muziki wa [[video]] umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile ''[[Billie Jean]]'', ''[[Beat It]]'' na '' [[Thriller (wimbo)|Thriller]]'' inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye [[MTVnyimbo]]. Jacksonzake ameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vilekwenye [[robot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalkMTV]]. Staili ya muziki wake, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
Jackson amekufa mnamo tar. 25 Juni 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la [[This Is It|''This Is It'']], ambalo lilitakiwa lianze katikati mwa mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya [[propofol]] na [[lorazepam]]. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia. Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni, na huduma ya ukumbusho wake uliofanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja.<ref>Bucci, Paul and Wood, Graeme. [http://www.vancouversun.com/Entertainment/Michael+Jackson+billion+people+estimated+watching+gold+plated+casket+memorial+service/1767503/story.html Michael Jackson RIP: One billion people estimated watching for gold-plated casket at memorial service]. ''The Vancouver Sun'', 7 Julai 2009.</ref>
 
Jackson ameyapa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile [[robot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalk]]. Staili ya muziki wake, staili ya [[sauti]] yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
 
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye [[Rock and Roll Hall of Fame]]. Mafanikio mengine yanajumlisha ''[[Guinness World Records]]'' (ikiwa ni pamoja ''Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote''), Tuzo za [[Grammy Award|Grammy]] 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya ''[[Living Legend Award]]'' na ile ya ''Lifetime Achievement Award''), 26 [[American Music Awards]] (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya ''Msanii wa Karne'')—zaidi - zaidi ya msanii mwingine yeyote—yeyote — single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima,<ref name=" Michael Jackson album sales soar">{{cite web |url=http://edition.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/06/26/michael.jackson.album.sales/|title= Michael Jackson album sales soar|publisher=[[CNN]]|date=2009-06-26|accessdate=2009-09-02}}</ref> inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea .<ref>{{cite web|last=Bialik |first=Carl |url=http://online.wsj.com/article/SB124760651612341407.html |title=The Wall Street Journal, Spun: The Off-the-Wall Accounting of Record Sales by Carl Bialik, Retrieved August 21, 2009 |publisher=Online.wsj.com |date=15 Julai 2009 |accessdate=2 Septemba 2009}}</ref>
 
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. Kujibadilisha kwa mwonekano wake kulianza kutambulika mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari.
 
Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali.
 
Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.
 
Jackson amekufa mnamo tarehe 25 Juni 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la [[This Is It|''This Is It'']], ambalo lilitakiwa lianze katikati ya mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya [[propofol]] na [[lorazepam]]. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia.
 
Jackson amekufa mnamo tar. 25 Juni 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la [[This Is It|''This Is It'']], ambalo lilitakiwa lianze katikati mwa mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya [[propofol]] na [[lorazepam]]. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia. Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni, na huduma ya ukumbusho wake uliofanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja.<ref>Bucci, Paul and Wood, Graeme. [http://www.vancouversun.com/Entertainment/Michael+Jackson+billion+people+estimated+watching+gold+plated+casket+memorial+service/1767503/story.html Michael Jackson RIP: One billion people estimated watching for gold-plated casket at memorial service]. ''The Vancouver Sun'', 7 Julai 2009.</ref>
 
== Wasifu ==
Line 36 ⟶ 50:
Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, lakini hakukutanika na kosa. Alifanya upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya [[Mwamerika mweusi]] mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua lake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Watu waliomtazama hawakupatana kama mabadiliko ya kimaumbile yalikuwa ama tokeo la kuona aibu kuonekana kama Mwafrika au jaribio kuwa na uso linalorahisisha mawasiliano yake na watu wa bara zote.
 
Michael, alimwoa Bi. [[Lisa Marie Presley]], [[binti]] wa [[Elvis Presley]]. Jackson, pia alikuwa akimiliki eneo kubwa lenye makazi lililoitwa Neverland, ambalo baadaye liliuzwa kwa kampuni na nusu bado inamilikiwa na mwenyewe.
 
== Mauti ==
Michael Jackson amefariki mnamo tar. [[25 Juni]] [[2009]] baada ya kuwaisha katika hospitali ya [[Ronald Reagan UCLA Medical Center|UCLA Medical Center]].<ref>{{cite news | first=Andrew | last=Blankstein | coauthors= Phil Willon |authorlink= | title=Michael Jackson is dead [Updated] | date=25 Juni 2009 | publisher= | url =http://latimesblogs.latimes.com/lanow/2009/06/pop-star-michael-jackson-was-rushed-to-a-hospital-this-afternoon-by-los-angeles-fire-department-paramedics--capt-steve-ruda.html | work =[[The LA Times]] | pages = | accessdate = 25 Juni 2009| language = }}</ref> Ilifikiriwa kwamba alipata mshtuko wa moyo, ikiwa na maana kwamba moyo wake ulisimama na imeonekana ya kwamba sababu yake ilikuwa matumizi mabaya ya madawa mengi mno.<ref>{{cite web|url=http://www.foxnews.com/story/0,2933,529103,00.html|title=AP: Michael Jackson Dies at Los Angeles Hospital|date=25-06-2009|accessdate=25-06-2009}}</ref> At 4:36 pm local time, the Los Angeles [[coroner]] confirmed Jackson's death.<ref>{{cite news |title=Special Report with Keith Olberman |publisher=[[MSNBC]] |media=Television |date=25 Juni 2009 |accessdate=2009-06-25}}</ref>
 
Wakati wa umautimauti wakeyake, Jackson alikuwa na umri wa miaka 50. Tetesi za habari za kifo cha Jackson, kimevunja rekodi ya mtandao na kusababisha msongamano mtandaoni<ref>http://www.usatoday.com/life/people/2009-06-26-jackson-web-traffic_N.htm</ref> kwa kuwapa tabu Google, Twitter, Facebook, na Yahoo msongamano mkubwa wa utafutaji wa habari zake.<ref>http://www.pcmag.com/article2/0,2817,2349422,00.asp </ref><ref>http://www.computerworld.com/action/article.do?command=viewArticleBasic&articleId=9134896&intsrc=news_ts_head</ref>
 
== Diskografia ==
Line 66 ⟶ 80:
 
{{Michael Jackson}}
<!-- interwiki -->
 
{{DEFAULTSORT:Jackson, Michael}}