SaRaha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Mtu Mashuhuri |jina = Sara Larsson |picha = Sara Saraha Larsson By Daniel Åhs Karlsson.jpg |caption = SaRaha akiwa ''Sommarkrysset'' mwaka 2...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:21, 20 Juni 2018

'

Sara Larsson
SaRaha akiwa Sommarkrysset mwaka 2016
Amezaliwa26 Juni 1983 (1983-06-26) (umri 40)
Vänersborg, Sweden
NchiUswidi
Majina mengineSaRaha
Kazi yake
  • Muimbaji
  • mtunzi wa nyimbo


Sara Larsson (kuzaliwa 26 June 1983), anajulikana kwa jina la kisanii la SaRaha ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za kiSweden-Tanzania. Alianza kutambulika Swedeni mwaka 2016 katika tamasha la Melodifestivalen.

Maisha na Kazi

Larsson alizaliwa tarehe 26 Juni 1983 katika mji wa Vänersborg, Swedeni. Mwaka 1985 yeye na familia yake walihamia nchini Tanzania. Alipotimiza miaka 18 alihamia Zimbabwe na ndipo alipoanzia kazi yake ya kimuziki, alifanya muziki na bendi nyingi za Zimbambwe katika mji wa Harare.[1]. Alirudi Tanzania mwaka 2009. Mwaka 2011, alitoa wimbo uliomfanya atambulike sana Tanzania ulitambulika kwa jina la Tanesco.[2]. Baadae aliachia wimbo wa My Dear, na kutoa album yake ya kwanza iliyoitwa Mblele Kiza mwaka 2014.[3] Wimbo wa "Mblele Kiza" ulipendwa pia nchini Swedeni. SaRaha alishiriki tamasha la Melodifestivalen 2016 kwa wimbo wa "Kizunguzungu", na kushinda kwenda kwenye nusu fainali ya raundi ya tatu.[4][5][6] Fainali alishinda kwa ujumla wa wote walioshiriki kwa nafasi ya tisa na nafasi ya saba katika jamii ya Swedeni.[7]

Nyimbo

Albamu

Jina Maelezo Nafasi ya juu ya chati
SWE
Mblele Kiza

Singo

Jina Mwaka Nafasi ya chati Vyeti Albamu
SWE
[8]
"Tanesco" 2011 Mblele Kiza
"Jambazi" 2012
"There Is You"
"Mblele Kiza" 2013
"Unieleze"
(SaRaha featuring Linex)
"Dadido"
(SaRaha featuring Big Jahman)
2014 Singo zisizo na Albamu
"Shemeji"
"Kila Ndoto"
(SaRaha featuring Marlaw)
"Kizunguzungu" 2016 2
  • GLF: 2x Platinum
"—" denotes a single that did not chart or was not released in that territory.

Singo alizoshirikishwa

  • "My Dear" (Akil feat. SaRaha) (2011)
  • "Fei" (Fid Q feat. SaRaha) (2011)
  • "Don't Cry" (Makamua feat. SaRaha) (2012)
  • "Usiku wa giza" (Nako 2 Nako feat. SaRaha) (2012)
  • "Siongopi" (Joh Makini feat. SaRaha) (2012)
  • "Mazoea" (Big Jahman feat. SaRaha & Nura) (2012)
  • "Dream" (Hustler Jay feat. SaRaha) (2013)
  • "Ghetto Love" (Magenge ft. SaRaha) (2013)
  • "Chips Mayai" (Q Chilla feat. SaRaha) (2013)
  • "Habibty" (Akil feat. SaRaha) (2014)
  • "Tuongee" (Makamua feat. SaRaha) (2015)

Marejeo

  1. "About". SaRaha - Official Homepage. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-22. 
  2. "Sara är lärare – och popstjärna i Afrika". kunskapsförbundet. 2014-09-24. 
  3. Akatasia
  4. "Melodifestivalen 2016: SaRaha Kizunguzungu". svt.se. SVT. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2015-12-27. 
  5. "SaRaha debuterar i Melodifestivalen - P4 Väst". Iliwekwa mnamo 2016-01-20. 
  6. Escudero, Victor M. (20 February 2016). "Sweden: third semi-final results". eurovision.tv. European Broadcasting Union. Iliwekwa mnamo 20 February 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. Escudero, Victor M. (12 March 2016). "Frans wins Melodifestivalen in Sweden". EBU.  Check date values in: |date= (help)
  8. "SaRaha discography". swedishcharts.com. Hung Medien. Iliwekwa mnamo 27 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nnje