Forum for the Restauration of Democracy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Forum for the Restauration of Democracy (FORD)''' ilikuwa kwanza harakati halafu chama cha kisiasa nchini Kenya. ==Chanzo 1991== Ilianzishwa mwaka 1991 na wanasiasa waliopinga muundo w...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Forum for the Restauration of Democracy (FORD)''' ilikuwa kwanza harakati halafu chama cha kisiasa nchini [[Kenya]].
 
==Chanzo 1991==
Ilianzishwa mwaka 1991 na wanasiasa waliopinga muundo[[mfumo wa chama kimoja]] na utawala wa [[KANU]] chini ya rais [[Daniel arap Moi]]. Shabaha ilikuwa mabadiliko ya kuruhusu vyama vingi na uhuru wa kidemokrasia. Wakati ule muundochama cha pekee kilichoruhusiwa kilikuwa KANU. Muundo wa chama kimoja kiliporomoka katika nchi nyingi za dunia baada ya mwisho wa ukomunisti na mabadiliko yaliyokwenda samabamba na mwisho wa [[vita baridi]] katika Afrika.
 
==Waanzilishi==