Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 22:
 
== Maendeleo ya Redio nchini Tanzania ==
Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika Mashariki inayokuwa kwa kasi katika teknolojia ya mawasiliano na uchumi. Nchi nyingine katika kanda hiyo ni Uganda na Kenya. Unapozungumzia teknolojia ya mawasiliano ina upana wake lakini hapa tutaegemea katika redio na runinga (televisheni). Kwa muda mrefu wa takribani muongo mmoja hivi ya kuwapo kwenye tasnia ya habari na mawasiliano nimefanikiwa kufanya na redio, magazeti na runinga.
 
Tanzania imegawanyika katika mikoa, wilaya, kata, kijiji, vitongoji na mitaa. Hivyo katika ukuaji wa mawasiliano ya tasnia ya habari, redio imekuwa ikiaminiwa zaidi kwa utoaji wake wa taarifa kwa haraka ikifuatiwa na magazeti na runinga.