Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 24:
Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika Mashariki inayokuwa kwa kasi katika teknolojia ya mawasiliano na uchumi. Nchi nyingine katika kanda hiyo ni Uganda na Kenya. Unapozungumzia teknolojia ya mawasiliano ina upana wake lakini hapa tutaegemea katika redio. Kwa muda mrefu wa takribani muongo mmoja hivi ya kuwapo kwenye tasnia ya habari na mawasiliano nimefanikiwa kufanya na redio, magazeti na runinga.
 
Tanzania imegawanyika katika mikoa, wilaya, kata, kijijivijiji, vitongoji na mitaa. Hivyo katika ukuaji wa mawasiliano ya tasnia ya habari, redio imekuwa ikiaminiwa zaidi kwa utoaji wake wa taarifa kwa haraka ikifuatiwa na magazeti na runinga (televisheni).
Redio nchini hapa zimekuwa zikiongezeka kwa kadri mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanavyokuwa na sera mbalimbali za nchi katika uhuru wa utoaji wa habari.
 
ZinaongezekaPia zinaongezeka kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ibara ya 18 kutoa uhuru wa kila raia kutoa mawazo yako.
Ninanukuu ibara hiyo kutoka katikaKatika Katiba ya mwaka 1977 kifungu kidogo cha kwanza (1) na cha pili (2); " (1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.”
(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.”
 
Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), ndio redio ya kwanza nchini Tanzania ya taifa hili, ambayo sasa inajulikana kama TBC baada ya kufanyiwa mabadiliko kadhaa. Ilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1970.